WanaCCM wataka Nape afukuzwe

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.

Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?

Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.
 
Mimi naomba abakie ili people's power wazidi kuvuna wana ccm,tunaombea udhaifu wake ili tuzidi kupeta gud news.
 
Mimi naomba debate kati ya nape na mnyika ili tumvue ngu hadharani,nitai sponsa kwenye tbs
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]
Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.

Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?

Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]
Na ni kweli nepi, hata mabinti huwa wanasifiwa kwa uzuri/urembo wao ili vichwa viwavimbe alafu wanaachia vitu kilainiiiiii. Ni faida kwa vijana kweli!!!!
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

Huna jipya mkuu
 
Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.

Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?

Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.
Sidhani kama huyu bwamdogo ataweza hayo aliyakuta na atayaachaa hapa ilipo CCM sasa hivi haina la kufanya kwa sababu hayo iliyaanza yenyewe. Kwa hiyo wanamwonea tu
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]

sikiliza bwana mdogo Nnauye Jr wewe ni mlopokaji wa mara kwa mara mara nyingi unakuruka kuongea bila kutafakari,lakini kaa ujue mahala ulipo hapasafishiki sasa kutokusafisha ukichanganya na ulopokaji wako utapata pumba.badili usiwe kama mzee yusufu makamba
 
Last edited by a moderator:
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]

wewe bado ni kijana mkuu nafikiri ni vema sasa ukaona umuhimu wa kuikomboa hii nchi kuliko kufuatata na wakata tamaa wachache na wazee,wanao amini kwenye "mwisho umekaribia" .tafakari kaka
 
Hata mimi niliwahi kusikia jambo hili nilipokuwa viunga vya jiji la Arusha. Ukweli ni huu, Nape hana shida sana kama inavyodhaniwa. Tatizo ni CCM lenyewe, ikisema hiki haimananishi. Nape analaumiuwa sana kutokana na sera ya kuvua gamba ambayo baadae mwanzilishi wake alionekana kuchemka, yupi wa kumlaumu? Mwanzilishi au mtekelezaji?

CCM inaelekea kufa hivyo akina Nape hawawezi kuonekana kama wanamchango mkubwa katika kukiokoa chama kufa. Tatizo la CCM ni kuchukiwa na wananchi. Niambieni kama Nape anadawa wa kuwapa wananchi wasiichukie CCM?
 
Nape waweza dhani umesimama kumbe umeanguka, na bahati mbaya zaidi husomi wakati may be umezungukwa na wapambe, simama jikung'ute vumbi ondoka kabla ya ccm kufa kifo cha aibu, Wako wapi waliokua na jeri kama akina Mramba waliwambia watu wale majani rais hatapanda punda, now umekua mlopokaji usie hata nastaha, Nakushauri Ubakize na mengine maana mwisho wa ccm umekaribia
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]
Duu kumbe hata wakina Makamba ni adui zako??? big up man endelea na msimamo huohuo. Mimi nakumbuka nilianza kukudharau rasmi siku uliposema huwezi kuhamia CHADEMA kwasababu wewe siyo mchaga.
 
Tuache longolongo,Nape ni mchapa kazi,tatizo itikadi tofauti tu,wivu wa kumuona anavimba kwenye V8 msiulete humu,ipo siku rangi ya gwanda anazovaa itabadilika tu
 
Viatu walivomvalisha alivishindwa Baba yake Februari Makamba.

Muangalie huyu Nape na upup.U anaoumwaga humu?
 
Nape hivi ni kiumbe gani hapa duniani? Naomba kueleweshwa, pia CCM na Chadema, au haya mambo ni misamiati mipya katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili?.
 
Nepi wanakuonea na usiwasikilize hao. We chonga kwa kwenda mbele. Umeshamsambaratisha R. Aziz, mmalizie EL afu umgeukie JK kabla ya 2015. Chonga jembe chonga wra weraaaa! Hwakujui, nino hawa!
 
Back
Top Bottom