BAVICHA ni Kijiwe, Si Taasisi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAVICHA ni Kijiwe, Si Taasisi!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, May 21, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ule msemo wa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; umetimia ndani ya CDM kwa kitengo chao cha Vijana kuzidi kusambaratika kimtazamo na kujikita katika kutoa kauli tata ambazo zinakosa mshiko machoni mwa jamii.

  Suala la Shibuda limeleta msuguano miongoni mwa uongozi wa juu BAVICHA huku Mwenyekiti Taifa (John Heche) na Makamu Mwenyekiti Taifa (Juliana Shonza) wakitoa kauli zenye utatanishi kuhusu kumpinga Mheshimiwa Shibuda.

  Watanzania tulio makini, tumekuja kuamini kuwa BAVICHA ni genge la washikaji wachache wanaondekeza maslahi yao kuliko maslahi ya taifa. Kitengo hiki ndani ya CDM kimekuwa ni taasisi binafsi yenye mlengo wa kulinda maslahi ya Mbowe & Co kwa kutumia kivuli cha UTAIFA zaidi. Tunashukuru siku zinavyosonga mbele CDM inazidi kujiweka UCHI na kuwapa nafasi watanzania kuamini yale yaliyotamkwa siku za nyuma kuhusu CDM kama taasisi ya walio wachache wanaotumia migongo ya wengi KUSHIBISHA MATUMBO YAO. Hivyo maneno ya viongozi wa BAVICHA imetupa ushuhuda kuwa wao ni wanagenge lililo na maslahi binafsi na wala sio umma, asante dada Juliana Shonza kutoboa uozo uliopo BAVICHA na CDM kwa ujumla
   
 2. S

  Somito Senior Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Ukiona Mtanzania kama wewe usiependa mabadiliko na kushabikia negatives against change,seriously kama asemavyo Kamanda wa ukweli Lema "Unahitaji ukombozi wa fikra" Pole!
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama bavicha ni kijiwe...UVCCM utaiitaje??
   
 4. lwakaja

  lwakaja Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  magamba @work
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Shibuda yulee anapita ni mwite wakuu tumulize maswali au nimkaushie?
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ongezea Na ya ukaskazini ili thread yako ikamilike na Dau kutoka kwa Nape liongezeke
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Ni fedheha sana kwa kijana kuwa mnafiki kiasi hiki.
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  MINAKUBALIANA NAYE NI UJINGA VIONGOZI WA OFISI MOJA KUPINGANA KWENYE VYOMBO VYA HABARI!
  NI UPUMBAVU MKUBWA SANA NA AIBU YENU BAVICHA! c
   
 9. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Unaona Mbowe and CO ndio wanaongoza Bavicha? tumia akili wewe kila kitu kina taratibu zake usiropoke ujinga tu, Juliana shonza unaemsifu hapa anajua kusoma katiba ajue mamlaka yake?!! yeye kaitiwa Waandishi na nyie wenye njaa mkatengeneza story hamna mipango mpo tu mnadaka uzushi mnaruka nao kama vichaa...
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Kauli yako hii mfu ina mchango gani ktk ujenzi & ukombozi wa mtanzania?

  How much did you sold your sould then?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,324
  Likes Received: 19,490
  Trophy Points: 280
  Bavjcha kwa nini mlitoa tamko? ili muonekane kuwa na nyie mpo?
   
 12. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Si tu ujinga bali upuuzi wa hawa watoto wa baraza la vichaa wa chadema wanaotafuta majina kisiasa!
   
 13. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ben

  Wanafiki kama hawa wako wengi hawatuumizi kichwa nw....nasikia siku hizi njaa zao zimezid wanafadhiliwa kwa pesa kiduchu sana. Hawana jinsi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ukute mzee kijeba kabisa huyu mkuu ben
   
 15. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona UVCCM arusha walisema rais ajae lazima atoke kaskazini,UVCCM Mkoa wa pwani wakakataa hukuleta hii thread kwamba UVCCM ni kijiwe,by the way nenda kachukue buku yako kwa nape
   
 16. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona bangi za kuvutia chooni zinazidi kukuharibu
   
 17. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kupingana kwa hoja sio shida,issue ni kama watapeana sumu kama nyinyi wenzetu
   
 18. m

  mamajack JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mawazo mfu hayo,kweli wewe unahitaji ukombozi wa fikra!
  umeona tamko la bavicha tu ukaona nawe upate imaarufu humu jf,acha mawazo ya kifisadi wewe ni kijana and najua unahitaji ukombozi wa kweli!
   
 19. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45


  uozo niliyouona hapa ni UOZO wa hii thread yako hapa. umetumia nguvu nyingi na muda wako mwingi kutengeneza uozo huu. pole sana ww na sisiem yako
   
 20. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Bavichaa!
   
Loading...