Ma DC wapya na ma RC wote, RAS katika semina elekezi Dodoma... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma DC wapya na ma RC wote, RAS katika semina elekezi Dodoma...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, May 21, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kale kautaratibu ka semina elekezi kanaendelea. Waziri Mkuu Pinda leo amefungua semina elekezi hapa Dodoma inawashirikisha wakuu wote wa wilaya, wakuu wote wa mikoa, makatibu tawala wote.

  Kikubwa amewaambia waende kuwatumikia wananchi. Hata hivyo ukikumbuka semina elekezi ya Ngurdoto na nyinginezo, je kuna umuhimu bado wa kuendelea kutumia mamilioni kwa semina hizi elekezi???
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ni semina itakayochukua SIKU KUMI kuanzia leo hadi kukamilika
   
 3. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  aaagh!, Siku 10?
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Inawezekana wanafundishwa na kupewa vyeti waongeze CV zao
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  walisema kutakuwa na mtihani mwisho, sasa sijui mtu akifeli inakuwaje na ni mteuliwa wa raisi?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ina za kufanya uzinzi tu hizi
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,177
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Wanaelekezwa mambo mengi mmno na namna ya kuminya uhuru wa watu kujieleza haswa kwenye mikutano yao wanayoitisha unaulizwa maswali ambayo hayamkeri mkuu
   
 8. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Na wale ambao walikiwa ma DC tayari sijui wanaelekezwa nini tena toba yailai!!
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  money wasting gatherings...somebody borrow me hand grenade
   
 10. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  ukifeli unapigwa chini ama unapewa ukatibu tarafa
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,177
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Mwana Mpotevu hakuna kitu kama hicho bana
  Ukishapata ulaji hata uvurunde watakuhamisha tuu
  au wataficha madudu yako ukaripoti kituo chako cha kazi na baada ya mwaka hivi unatolewa pale unaambiwa utapangiwa kazi maalum
   
 12. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wameenda na wenzi wao katika ndoa? maanake hata semina za ukimwi huwa ni za kiuasherati zaidi wanakuwa wanajaribu namna ya kutumia condom..hizo semina hazisaidii kitu hata wanao hudhuria wanaviwango tofauti vya elimu wengine wanajeshi ,waalimu madocta na kila mtu na wilaya yake ....anaetoka kwa wamasai na dar na hakika wana mazingira tofauti na anaetoka kwenye wilaya kame na yenye rutuba na mapato kila wilaya nna mikoa ni tofauti sana sana wameenda kutembea tu kama wale walioenda kutazama wanyama ngurudoto
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  just another squandering of public fund!!
   
 14. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  It's business as usual!
   
 15. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii nchi hadi tunaitoa kwa hawa mafisadi ishabaki mifupa tupu
   
Loading...