Wazo langu, ili kumfanya CAG kuwa na meno katika ripoti zake utafutwe utaratibu mzuri kisheria utaoziunganisha idara hizi mbili CAG , DPP na TAKUKURU kupunguza loop holes na kufanya ripoti za CAG...
Wana JF kuna jambo ambalo limeonesha kupinda kwa kauli za Waziri mkuu,kwanza nimpongeze kwa kuwaita na kuwapa Semina ma DC na Ma RC(wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa)amewaambia wakafanye kazi za...
Kifo cha mkulima pale Ikwiriri kilichosababishwa na mfugaji ni dalili tosha kuwa sasa vita ya ardhi imeanza rasmi kuinyemelea mikoa ya kusini!
Itakumbukwa kuwa wafugaji wengi walihamishwa kutoka...
MWANANCHI leo limeripoti kuwa wakazi wa Handeni wamefanyia mapokezi makubwa, Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Kigoda na kumpongeza kwa kufanya uamuzi wa kumsimamisha kazi Bw Ekerege aliyekuwa...
Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa Mark Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Wapili kushoto ni...
wadau JF,
Nimesoma gazeti la citizen leo kuwa kumbe ile sheria iliyounda tume ya warioba haiwezi kufanya kazi znz hadi ipitishwe na baraza la wawakilishi. hii inafuatia masharti ya ibara ya 132...
Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wateule wa JK kuanza na mbwembwe nyingi na kauli za kuonyesha kufanya kazi na kulijua tatizo, la kushangaza huishia kwenye matamko na mbwewe. Waziri wa ardhi Prf...
Monday, 21 May 2012 20:58
ASEMA ALIANZA KULISHUGHULIKIA JANA, LINAHUSU TUHUMA ZA UUZWAJI WA KIWANJA KWA MOHAMMED ENTERPRISES
Patricia Kimelemeta na Raymond Kamnyoge
MKURUGENZI Mkuu wa...
Inahitaji nguvu ya ziada kuweza kung'amua baina ya wizi na rushwa. Makosa yote haya kwa mujibu wa sheria ni makosa ya Jinai. Kwa maana rahisi kabisa mwizi ni yule anaechukua kwa uficho mali au...
Hatumsikii kwenye kazi ya kujenga Chama ila tunamsikia kwenye kubomoa, ni mmoja wa waliopandikizwa na ccm au kapewa fungu aichafue Chama? Kiongozi mzuri katika jamii au hata katika familia ni yule...
Kwa kawaida Rais wa Marekani na viongozi wote wa nchi tajiri duniani (G8) wanapowasili Airport ya Bongo
huwa wanapokelewa zaidi ya VIP....yaani ulinzi unakuwa mkali,mapikipiki ya msafara na magari...
Jamani Jamani, Nani analifahamu hili Kabila???
http://www.tourismnorthwest.co.za/bojanala/rustenburg_bafokeng.html
Hints
Ni kabila lililo Africa kusini, Historia inaonyesha hapo nyuma karibia...
Baada ya mh shibuda kutangaza kugombea uraisi 2015, kupitia chadema na kusema Dr slaa awe meneja kampeni wake.
Mwenyekiti wa bavicha bwana heche alijitokeza na kumpinga bwana shibuda kwa madai...
WAZIRI mkuu mmoja wa zamani na mawaziri wawili walioko madarakani, wametajwa kuwa miongoni mwa wazito walioko ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioomba kujiunga na Chama cha Demokrasia na...
CCM yazidi kupoteza imani kupitia kwa wasomi wa vyuo, itambulike kuwa chuo kikuu cha UDOM kina wanafunzi wa kila pande ya nchi wapo wa Mtwara(kusini), Kigoma (magharibi), Kagera (kasikazini...
Viongozi wakuu wa CDM wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa Jumamosi ijayo tarehe 26/05/2012 watalitikisa jiji kuu la Dar kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara...
Hiyo imetokana na mvutano uliokuwepo katika vikao vya halimashauri ya jiji la Mwanza ambapo diwani huyo (wa Igoma na mwenzake wa Kitangiri) pamoja na madiwani wengine kutoka CCM waliungana...
CHAMA CHA DEMOKRASIA JIMBO LA ILALA KIME MTIMUA ALIE KUWA KATIBU NA MWENYEKITI KUTOKANA NA USHILIKI WAO MKAMILIFU KATIKA KUFUJA FEDHA ZA CHA ZINAZO PATIKANA KUTOKANA NA WAFADHILI KWA CHAMA KATIKA...
Heshima Kwako,
Katika hali ya kufurahisha vijana wa CDM jimbo la Lushoto wamepokea kwa furaha ujio wa Kamanda Ole Millya tarehe 24/05 na kuapa siku ya mkutano tarehe 25/05 itakuwa siku ya kutuma...