Chadema jimbo la ilala limekwisha mtimua katibu na mwenyekiti wezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema jimbo la ilala limekwisha mtimua katibu na mwenyekiti wezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTU WA VITA, May 22, 2012.

 1. M

  MTU WA VITA Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHAMA CHA DEMOKRASIA JIMBO LA ILALA KIME MTIMUA ALIE KUWA KATIBU NA MWENYEKITI KUTOKANA NA USHILIKI WAO MKAMILIFU KATIKA KUFUJA FEDHA ZA CHA ZINAZO PATIKANA KUTOKANA NA WAFADHILI KWA CHAMA KATIKA JIMBO HILO TAYARI MTU MMOJA KWA JINA ANAITWA MWAMPAMBA ALIE KAIMISHWA KWA MUDA UKATIBU YEYE NAE AMEAMUA KUPIGANA KUFA NA KUPONA ILI AWE KATIBU WA JIMBO HILO KIASI KJITANGAZIA KUWA MUNGU AMEMPA NAFASI HIYO TOFAUTI KABISA NA MAAMUZI YA KAMATI TENDAJI YA JIMBO HILO ILYO WAONDOA WABADHILIFU HAO, ILI HALI YEYE HUYO MWAMPAMBA MWENYE UROHO WA MADARAKA KWAKUTORIDHIKA NA NAFASI ALIYO NAYO YA UENYEKITI WA VIJANA AMEANZA TABIA YA ALIEKUWA KATIBU ALIE FUKUZWA AKIFANYA MAAMUZI KWA SIRI KWA MASLAI YAKE BINAFSI HUYU NAE KAKOSA SIFA ATIMULIWE:A S embarassed:
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,880
  Trophy Points: 280
  Taarifa yako imekaa kiushabiki zaidi haina mtiririko unaoleweka! weka ushabiki kando uandike upya! waliofukuzwa nani na nani, walifukuzwa lini, waalifuja kiasi gani cha pesa na huyo mwingine anayakaimu ni nani na utaratibu wa kupata viongozi wengine upoje? hapo utaeleweka!!!
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona unaongea kwa jazba emu turia kwanza ndo ule hoja yako...unasema?
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Me nimetoka kapa hapa,mara kafukuzwa mara kakaimu mroho,
  tuleteee kitu chenye mpangilio na kueleweka.
   
 5. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Tatizo la wana-ccm ni moja; wao wanajua njia moja tu ya kufanya siasa, wanajua kutengeneza propaganda, shule zao wanasomeshana kujenga propaganda na si kujenga hoja za msingi.Ushamba wa kizamani ccm
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Eti unasema....
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Hiyo habar hebu hebu iweke clear w mleta thread ili nisije nikakulisinde buree alafu nikapata ban kwa mods maana hapa nilipo toka hii wiki imeaza nina hasira sana kutokana na huyu dada mpumbavu wa BAVICHA pamoja na huyo fatki wake shibuda, gosh........
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Jombaa Funguka au futa kauli
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kama umeandika kiyunani vile
   
 10. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hueleweki... Maelezo yako yamekaa KINAFIKI NAFIKI au KIMBEA MBEA hivi.... Toa taarifa inayoeleweka!!
   
Loading...