Pinda Usitupindishe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda Usitupindishe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, May 22, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF kuna jambo ambalo limeonesha kupinda kwa kauli za Waziri mkuu,kwanza nimpongeze kwa kuwaita na kuwapa Semina ma DC na Ma RC(wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa)amewaambia wakafanye kazi za kutatua Kero za Wananchi
  Jambo lililonistua ni pale aliposema"Ninyi sio wana Siasa kafanyeni Kazi" hii kauli ni ajabu na ya kinafiki sana,ikumbukwe kuwa kuna wabunge waliopewa huo U DC na U RC, na inajulikana kuwa Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya Ccm mkoa,je huyu si mwana siasa? Hali kadhalika DC(mkuu wa wilaya)ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM ya wilaya.

  Sasa Pinda unaposema kuwa sio wana siasa unataka kutuambia nini hapa? Hebu tafadhali Usipindishe maneno
  Tafakari kabla hujatamka maana TZ ya leo sio ya Jembe na Nyundo ni ya I pad na Lap top
  Nawakilisha...
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Waziri Mkuu hajakosea. Hata kama kuna wabunge wameteuliwa kuwa ma-DC , bado wanatakiwa kuweka kando ubunge wao pale wanapotekeleza majukumu kama wakuu wa wilaya. Alichokuwa akiwaeleza Waziri mkuu ni kutekeleza majukumu waliopewa.
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kengemumaji kuwa greathinker au angalia kauli na matendo ya ma dc
   
 4. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kosa sio la PINDA ni la KIKWETE, kwa nini mtu mmoja nafasi mbili wakati kundi kubwa la waTZ halina ajira???? alitaka tu kuonesha makosa makubwa ya KIKWETE. Makosa makubwa ya CCM ktika kuwafikiria watanzania, hakuna mtu ndani ya CCM au serikali anafikiria kwa kina linapokuja suala la kugawana keki ya taifa; ndo maana hali halisi inagongana na maelekezo yao (PINDA).

  Kwani kweli kulikuwa na ulazima wa mbunge kuwa tena DC au RC, tena kwa uteuzi wa rais ambaye anapaswa kuwafikiria watz wote kwa upana na urefu wao???? wtz hawa ambao ajira imekuwa shida, mtetezi mkuu anagawa keki kwa sura etc.
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ndo maana katiba mpya bora wafutwe,sasa wakiwa bungeni nini kinafanyika ofcn mwao?
   
 6. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Jamani majina yetu haya, PINDA. ama kweli lazima uPINDE tu, hivi kweli kuna nani leo asiyejua ma RC na ma DC ni makada wa chama. wasitudanganye tunaujua ukweli wote na mwisho wao upo, sio mbali.
   
 7. m

  mamajack JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tatizo pnda mwenyew huyo hajui hata anachokifanya maskini,mie simsemei hata ukifatilia utendaji wake hauendani na wadhifa wake.
  najarinbu kufatlia mambo mbalimbali yaliyofikishwa kwake hayana utendaj kamili utasikia amasema "tutafanya,tunaliangalia,tutafatilia,tutaagiza"sasa huwa najiuliza atafanya lini na nani? unajua hakuna kazi ngumu kama kufamya kazi kulingana na matakwa ya watu wachache ambao mda wote wanataka uwalinde.au kwa jina jungine kuwa kivuli.

  kwanza kabisa huyo dc au rc anateuliwa na mtu mmoja kulingana na matakwa yake haangaliwi uwezo wake kwa jamii,then mtu huyo awe mwenyekiti wa kamati mbalimbali ikiwemo ulinzi na usalama wakati kabla ya kuchaguliwa hakuweza kumonitor ulinzi na usalama hata wa familia yake,inashangaza.leo nimesikia waziri mkuu akiwaasa hao ma dc kuwa watu wa tofauti,hivi kunastalil ya kipekee kwa yeyote anayekuwa mfani mbaya kwenye jamii,jaani pinda anapindua kweli kweli.
   
 8. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Pinda katoa karipio hilo ili kuepusha mgawanyiko wa ccm katik suala la kutafuta mgombea wa ccm maana ma dc na ma rc hutumika sana ktka kuunda timu za wapambe wa wagombea.

  MY TAKE
  Ccm hawakuona umuhimu wa hawa wateule wa rais kutojihusisha na siasa mpaka pale walipoona huenda wakaleta mgawanyiko ktk chama chao kuelekea uchaguzi 2015.
  8
  CCM mara zote huangalia maslahi ya chama chao na si maslahi mapana ya taifa. Kwani siku zote hawajui kuwa ma DC na ma RC ni makuwadi wa siasa chafu za ccm?
   
 9. m

  matawi JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Usimwambie mwenzako hivyo umesahau huwa analialia? Shauri yako
   
Loading...