Hivi JK anapokelewaje airport za Marekani na nchi zote za G 8? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK anapokelewaje airport za Marekani na nchi zote za G 8?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, May 22, 2012.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa kawaida Rais wa Marekani na viongozi wote wa nchi tajiri duniani (G8) wanapowasili Airport ya Bongo
  huwa wanapokelewa zaidi ya VIP....yaani ulinzi unakuwa mkali,mapikipiki ya msafara na magari maalumu ya
  msafara hadi ikulu na siku hiyo njia zote za katikati ya jiji huwa zinafungwa kwa mda wa masaa kadhaa.

  Sasa swali langu ni -:
  Je na Rais wetu Kikwete atambeleapo nchi za viongozi hawa huwa anapata the same VIP service? i mean
  mapikipiki ya msafara,magari maalumu kuanzia Airport na njia zao kufungwa kwa mda kupisha msafara wake?
  Na hapo airport anapokelewa na nani? Gavana wa jimbo,meya,au Rais wa nchi?

  Msaada jamani kwa faida yangu na watu wengine.
   
 2. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kiu yangu nami kufahamu hilo..
   
 3. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yaani we acha tu!...tusibiri watahalaam wa mabo waje kutudadavulia hapa
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kwa siku moja kuna zaidi ya Marais 20 wankuwa NYC.......imagine kuruhusu misafara itakuwaje? Anakuwa mtu wa kawaida kule with a few security details
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  tukipata na picha itakuwa safi sana
   
 6. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hakuna kitu mtu mwenyewe unaenda na kikombe cha kuombea msaada......mkononi nani akupokee huko hata wamarekani wa hapo airport hawajui km ni rais huyoo...mikwara mingi ni huku kwao tuu...!
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye ndiyo penyewe....please funguka zaidi!
   
 8. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duuh kumbe wenye kiu tuko wengi!
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Huyu hapa:

  [​IMG]
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hili nalo linahitaji kudadavuliwa?
   
 11. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndiyo Mkuu sisi wengine hatujui mambo haya....tafadhali tunahitaji maoni yako
   
 12. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Enhee tupeni uhondo huo hata mimi nilikuwa najiuliza muda mrefu hili suala.
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mmh!! mbona sielewi? sasa hapa ni airport,ikulu au mtaani tu?
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Rais anaonekana kama mlinzi
   
 15. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Kinachonishangaza kwa hawa jamaa ni kwamba why hata hawaigi usafi tu na mipango miji huko wanakoenda wakaisimamia hapa home yaani hawakumbuki sijui hawajali mi nachukia sana...
   
 16. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  YEYE ni nani kwenye G8?/
   
 17. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umenena
   
 18. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  swala la mapokezi kwa viongozi wakuu wote, ni itifaki ya kimataifa ambayo inazingatiwa na mataifa wote.. ulinzi anaopata Obama au Bush kwenye nchi za ulimwengu wa 3 sio sawa na anavyokwenda Urussi, au FRANCE, jerumani...unapewa ulinzi na wahusika, sio kama anavyokuja huku na lundo la walinzi..kumbuka hata hapa kwetu kuna wakati wanakuja maraisi JK anakuwa busy, anamtuma makuamu wa rais, au pinda kwenda kumpokea... tofauti na hapo lazima KIongozi au mwenyeji awepo air port kumpokea mwenzake. katika umoja wa mataifa, viongozii wakuu wa ncho wote wana hadhi sawa, haijalishi unatoka katika nchi ndogo au maskini kiasi gani. sema JK anakosa mapokezi mazuri, coz anaenda mno mara kwa mara, mpaka wamemchoka sasa
   
 19. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  hakuna cha zaidi ya ulinzi
   
 20. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  nawi naunga hoja mkono.mia
   
Loading...