Wazo langu takukuru iunganishwe na ofisi ya cag.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo langu takukuru iunganishwe na ofisi ya cag..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stroke, May 22, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 11,510
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Wazo langu, ili kumfanya CAG kuwa na meno katika ripoti zake utafutwe utaratibu mzuri kisheria utaoziunganisha idara hizi mbili CAG , DPP na TAKUKURU kupunguza loop holes na kufanya ripoti za CAG kuwa na nguvu zaidi kisheria..badala kuwa kama mashairi tu au ngojera..
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  good idea
  tatizo takukuru wanapenda kula rushwa ikiunganishwa watakufa njaa
  wao kazi yao ni kusubiri CAG azindue riporrt ndio wajifanye wanajua
  hii kitu ni ya kuffutwa kabisa haina meno haina kazi
   
Loading...