Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, May 19, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Viongozi wakuu wa CDM wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa Jumamosi ijayo tarehe 26/05/2012 watalitikisa jiji kuu la Dar kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Jangwani.

  Mkutano huo utakuwa ni maalum kuzungumza na kuwaelimisha wananchi kuhusiana na Katiba mpya. Pia viongozi hao wanatarajiwa kulaani uamuzi wa halmashauri kuu ya CCM kutenga mambo kadhaa na kuwaamuru wananchi kutoyajadili kwani yanapaswa kubaki kwenye katiba kama yalivyo.

  Mkutano huo pia utahudhuriwa na Naibu katibu mkuu Zitto Kabwe, Mnadhimu mkuu wa upinzani Tundu Lissu, Mwanasheria maarufu Mabere Marando,wabunge wote wa chama hicho na wajumbe wote wa kamati kuu.

  Itakumbukwa mara ya mwisho CDM kufanya mkutano mkubwa kama huo Dar ni siku ya uzinduzi wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho mwezi Agosti mwaka juzi.

  Mkutano huo unatarajiwa kulitikisa jiji la Dar na Taifa kwa ujumla kwani Maelfu ya wana-CCM wanatarajiwa kuvua Gamba na kuvaa Gwanda.

  Source: John Mnyika-CDM
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa karibuni Dar es Salaam.
   
 3. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  all the best makamanda tutang'aa pande hzo
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru, na nyie karibuni Mwanza na Arusha!

  TUMBIRI wa JF.
   
 5. e

  elly1978 Senior Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tumesubiri muda mrefu sana kupata hii fursa adhimu kusikiliza wanamageuzi, tunaomba Mnyika mtupe taarifa za kina kama mkutano utaanza saa ngapi, wapi tukanunue magwanda, bendera nk,
   
 6. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  posho posho posho mbowe na slaa kila wakiishiwa pesa lazima waandae mikutam na maandamano ili walipane
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru sana mkuu Ritz
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ndo maana nlikutana na lema himo hapo jana on the waya 2 dar
   
 9. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Huna jipya zaid ya kuona tabu na mkutano huo.posho unalipa wewe?Wakijilipa kuna tabu gani kama wanatoa somo kwa wananchi?Toa pumba zako.
   
 10. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa Dsm msituangushe,asante kwa taarifa
   
 11. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kama zuzu vile
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Pamoja sanaaaaaa tuuuuuuu
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi Dar ni kaskazini? Si wanasema hiki chama ni cha kaskazini tu?
   
 14. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ohooo chama! chama gani chama cha wananchi Cuf! - X 2....mapanga shaa shaa!
  Sasa hakuna cha ngangali wala jino kwa jino mmebaki mavi matupu. RIP CUF!
   
 15. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Redio ya Arusha mambo mtarusha matangazo live ili wa mikoani tupate matangazo live? Wahusika naomba mtujuze ili kam hayatarushwa live na sisi tujisogeze dar. Tafadhali wahusika tunaomba majibu
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,193
  Likes Received: 10,537
  Trophy Points: 280
  Kamanda Lema awepo jamani yeye ni kama kachumbari kwenye pilau.
   
 17. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Ukabila, Ukanda ndo unavyo viwaza katika kichwa chako hata kutizama kalenda tu kufahamu Tar. 26/05 ni siku ya Jmosi umeshindwa! Acha kukurupuka
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,193
  Likes Received: 10,537
  Trophy Points: 280
  Tedo like this.
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,193
  Likes Received: 10,537
  Trophy Points: 280
  Natumai nawe utafuata nyendo za Millya.
   
 20. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,193
  Likes Received: 10,537
  Trophy Points: 280
  Thubutu yao..... hata hapa dar naona patawashinda baada ya mtikisiko wa mkutano huo.
   
Loading...