Lema ataja Mawaziri ‘wazito’ wanaoenda CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema ataja Mawaziri ‘wazito’ wanaoenda CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, May 21, 2012.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,758
  Likes Received: 17,832
  Trophy Points: 280
  WAZIRI mkuu mmoja wa zamani na mawaziri wawili walioko madarakani, wametajwa kuwa miongoni mwa wazito walioko ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioomba kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

  Aidha, mawaziri hao wanasubiri muda muafaka ufike waweze kutangaza rasmi kujiunga na chama hicho, kutokana na kile kilichodaiwa kuchoshwa na mwenendo mzima wa uongozi na utendaji wa mambo unavyokwenda serikalini na ndani ya CCM, hususan suala la kuwalinda watu wanaotuhumiwa kwa ubadhilifu.

  "CHADEMA tumejiandaa kuingia madarakani kwa kutumia nguvu ya umma. Ndiyo maana (akawataja mawaziri) wameomba kujiunga na CHADEMA ili tulisongeshe pamoja kwenda kuingia madarakani mwaka 2015.

  "Lakini (akamtaja waziri mwingine) tumemkataa. Tunataka wachapa kazi na wenye mioyo ya kweli katika mapambano ya kupigania haki na kuondoa dhuluma kwa Watanzania," alisema Lema.

  Source: Tanzania Daima 21/5/2012

  Kwa wale ama waliohudhuria mkutano au wenye taarifa za majina hayo ambayo inasemekana yalichanwa please tusaidieni, ili tupate wasaa wa kuwachambua hawa mawaziri kabla ya kutoa ruksa ya kuwavua magamba na kuwapendezesha na magwandwa

  Updates
  [h=2][​IMG] Lowassa, sitta na mwakyembe kuhamia cdm: Lema Source-Chiume wa JF[/h]
   
 2. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hiyo ndo siasa ya bongo.
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nimesoma kwa msisitizo nikadhani wametajwa kweli, kumbe!!!!!!!!!
   
 4. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ni ELN hapo watakuwa wamechemsha wanachama na mashabiki wao watawawajibisha.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  KUna watu wengine ni tatizo tu; sijui kwanini wanafikiria waatu wanahitaji kujua majina ya mawaziri; sasa hao watu waliotajwa (japo hawajatajwa) wakisema hawakuomba hivyo itakuwaje? Hata kama wlaikuwa na mpango ina maana hawa kina Lema hawana hekima kabisa ya kujua nini vya kusema na nini vya kutokusema?
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,758
  Likes Received: 17,832
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono Mwanakijiji, hakuna haja ya kuwataja. Kwa nini wasingoje basi siku hiyo watakapotakaswa jukwaani au kwny media ili hata asiye jua kusoma aone. Hili inanipa shaka, any way ngoja tuone, pengine hao mawaziri wametoa ruksa kwa kina Lema ili kuiumiza kimya kimya CCM
   
 7. M

  Martin Jr JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  " wapo vijana ambao hawajawahi kununua hata kilo moja ya mchele wala doti ya Kanga kupeleka kwa wazazi wao lakini ni mashujaa wakutumia viganja vyao kuvunja moyo wapiganaji, wanaweza kutumia siasa za mitandaoni vizuri lakini sio akili zao, hata hivyo kuna malengo tofauti katika siasa, lakini lengo kuu kuliko yote basi iwe Haki na usawa, kazi zenu ni kubishana kwenye mitandao huku mmekaa ofisini, huku field tunakoenda kupigana hatupigani kwa ajili ya Chadema kushika madaraka bali Taifa letu kutwaa mamlaka na watu waaminifu watakaoweza kushika madaraka na kuongoza vizuri lakini sisi tunajipa moyo kwa kejeli zote na matusi mnayotutukana kwani hata mvua inanyesha kwa wenye dhambi na wasio na dhambi, endeleeni na ujinga huo wa kutumika vibaya na sisi tutaendelea kuwa makini bila kuogopa, Hata hivyo Chadema ni Chama ambacho wewe na familia yako mnapaswa kukifanyia dua kila siku, hivyo basi kazi ya tawi hili la uhasibu iwe ni kutafuta haki na ukombozi na mkiishi kama familia mtashinda vikwazo vyote mlivyosoma kwenye risala yenu."

  Lema ( ufunguzi Tawi la Uhasibu)
   
 8. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ni sawa na kwenda kutubu kwa padre halafu kesho ya padre akaenda kukunanga kanisani wakati wa misa. kuna faida gani ya kutaja majina? kama wakigaili mtasemaje?. ni kukurupuka.
   
 9. t

  thinka JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  lema ana akili sana hiyo ni mbinu ya kuwatengea mazingira vigogo wa ccm wasione ugumu kuvaa gwaandaa
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  yupo right kutaja..jee kama ni propaganda.MM wakti mwingine unataka kila mmoja aunge mkono hoja zako.una siasa chakavu wewe..
   
 11. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama wamekubali wasemwe tu, hata wakigaili sioni effect yake. Ni vizuri wajitokeze mapema ili washiriki kuleta ukombozi wasingoje 2015 ndo wakimbilie form kupitia Cdm.
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Pumba za lema @work.
   
 13. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Si unajua magazet ya udaku yalivyo
   
 14. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  tanzania daima sawa risasi tu(udaku mtupu)
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  mkuu unataka kusema hao mawaziri ni mhimu sana kuja chadema hadi wasitajwe.?
   
 16. A

  Aine JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwanza hawajui kwa kuwataja majina watasababisha mtafaruku kwenye vyama vya wahusika?
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji, napingana nawe.
  Kwenye medani ya kijeshi, kwenye mapambano mstari wa mbele, kuna wakati umepaswa kumhadaa adui kanakwamba unashambulia kutokea upande utakaofyatua risasi kwa kutumia wapiganaji wachache waliopangwa ku draw attention ya adui ili upande huo ili umpige kirahisi na kukiangamiza kikosi chake chote.
  Hao waliotajwa hata wakikanusha, hawataaminiwa sana washirika wao. LEMA YUKO SAHIHI KAMA KWELI AMEWATAJA.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nassari hana hekima, Lema hana hekima, Shibuda hana hekima, Shonza hana hekima! CDM hekima iko wapi sasa?
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tanzania Daima, Kiu, Uwazi, ni kundi mmoja ni magazeti pendwa ya Udaku.

  Sasa hayo majina ya mawaziri yapo wapi?
   
 20. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red: Hajasema hivyo. Una haki ya kumpinga kwa hoja. Nafikiri ungeishia kupinga hoja yake tu ingekuwa poa kuliko kuonyesha hiyo inferiority complex yako.
   
Loading...