Vijana na ufinyu wa kufikiri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana na ufinyu wa kufikiri.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SIXPLANET, May 22, 2012.

 1. S

  SIXPLANET Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Baada ya mh shibuda kutangaza kugombea uraisi 2015, kupitia chadema na kusema Dr slaa awe meneja kampeni wake.
  Mwenyekiti wa bavicha bwana heche alijitokeza na kumpinga bwana shibuda kwa madai kwamba anavuruga chama.
  Lakini tujiurize je nikosa mtu kutangaza nia yakugombea urais, pia bwana heche katumia msimamo wake kama msimamo wa bavicha, je kauli ya heche ilipokelewaje na wananchi wa maswa na watanzania wote kwa ujumla, na kama wamechukulia ni ubaguzi, maana bwana zito naye alitangaza lakini hakupingwa, bavicha inajengewa picha gani katika jamii ya watanzania.
  Pia alipo jitokeza katibu wa bavicha kuweka mambo sawa kuondoa confusion, vijana wengi katika mitandao wamjia juu kwamba yeye ni pandikizi, gamba na afukuzwe.
  Binafsi na mpongeza katibu wa bavicha kupinga kauli ya heche kwamba si ya bavicha, maana kuunga mkono kauli ya heche ni kujenga makundi ndani ya bavicha na kuuwa demokrasia ndani ya chadema, kama hawa kumpinga zito basi hatawengine wasipingwe, wacha watu watangaze nia tuwajadiri, tuwapime uwezo wao, wanachama wapige kura apatikane mtu wakukipatia ushindi chama 2015.
  Tusibweteke kwamba dr slaa is only candidate for 2015 any thing may hapen, na akashindwa kusimama 2015, tukafanya active decision za kumteuwa mtu 2015 who can not compete. Isiwe zambi mtu kutangaza kugombea.
  Kwahiyo tusijadiri kauli ya katibu wa bavicha bali tujadili kauli ya heche je inakijenga chama au inakibomoa, pia bavicha inasimamia maslahi ya wanachadema wote je kauli ya heche inasimamia maslai ya nani? Na wakati shibuda ni mwana chadema. Leo anapingwa shibuda je kesho atapingwa nani? Je kauli hii inatofautiana vipi na ile ya uvccm pale kibaha pwani. Au chadema inawenyewe wengine tunasindikiza tu.
  Thanks
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Kumbe vyama vinajengwa na kubomolewa kwa kauli na matamko????
   
 3. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  SIXPLANET hujui unachoandika na inawezekana umepitwa na WAKATI kwa sababu hujui chanzo cha KAULI ya bwana HECHE
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  mi siwaelewi. kwani zitto alipotangaza ilikuwaje? na leo mnashadidia nini sasa! ni uhuru wa kikatiba. kosa la shibuda ni kutangaza kuwa chadema hakiko tayari, kwani wengi tuliwaamini tangu 2010, kwa hiyo 2015 ni swa na kumrusha chura kwenye dimbwi la maji ayapendayo
   
 5. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hayo mambo ni kuyapotezea, kwa wanachadema kwa pamoja tunajipanga kuchukua nchi 2015, ila Shibuda kwa tuliowengi HATUMKUBALI NA HATUMTAKI, hana lolote ni mchumia tumbo tu yule.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  SIXPLANET wewe hapa jamvini unakuja kwa msimu tuu tena wakati huna kazi peleka upambaf kwa beki tatu wako
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we bwana mdogo unayejita nani... SIXPLANET na huyo mwenzio kitoto chenzako Sangarara hoja zenu zimefubaa,mnakurupuka na kuanza kuropoka kama huyohuyo shibuda hamna tofauti na vuvuzela wenu Nnauye Jr,kwanza si lazima uanzishe uzi mpya wakati uzi zingine with the same meaning zipo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  kufanya hivyo kwenye NEC ya ccm huku ikiwa haijulikani aliitwa na nani huko ili kufanya nini

   
 9. mayane

  mayane Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sasa iweje?
   
 10. mayane

  mayane Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Haya sasaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. mayane

  mayane Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  TUMEELEWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!:crutch:
   
 12. S

  SIXPLANET Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  That is right.
   
 13. S

  SIXPLANET Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nakubaliana na wewe sijui kwanini heche alitoa tamko, basi nipe uwelewa wako kwenye hili ili twende pamoja!
   
 14. S

  SIXPLANET Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  huwezi kujipanga wakati umoja wa vijana chadema unaendekeza ubaguzi, maana kutangaza nia sio kuwa mgombea mojakwamoja, kinachotokea nikuzuiwa kufikiria mtu mwingine ambaye ataonekana anafaa 2015, my point is tusi relay kwa dr slaa peke yake we required to think on the altenative kama dr hatakuwepo.
   
 15. S

  SIXPLANET Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Usishabikie kitu ka zuzu try to think on both side, leo anapingwa shibuda, kesho wewe.
   
 16. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,806
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa aliyeanzisha hii mada naye ka taahira vile! Mbona mimi sielewi? Sijui huyu bwana ametoka kwenye mataputapu? Hivi aliyetoa ufafanuzi wa kupingana na Heche alikuwa katibu au makamu m/kiti?
   
 17. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hata unachoandika hukjiui, Shibuda alisema atagombea kupitia chadema lakini JK ndio awe meneja wa kampeni yake.
   
 18. S

  SIXPLANET Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nashuru kwa neno lako zuri lakin sijui kama unaielema main messege ya post yangu. Na sizani kama post yangu lengo lake kuu ni hicho ulicho kiona.
   
 19. S

  SIXPLANET Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nafikiri izi habari umezipata kupitia magazeti na vyombo vingine vya habari, chanzo kimoja wapo nilicho tumia kimeandika hivyo, kwasababu mimi nawewe hatakuwepo kabisa, na sizani kama ina sound kwa mtu anaye fikiri jk kuwa meja kampeni.
   
 20. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mpaka mai 2013 si ndio itakuwa mwaka? tusubiri
   
Loading...