Wadau,
Nilikuwa napitapita huku wilaya ya Kilombero ghafla nikakutana na mkutano wa Chadema katika mji mdogo wa Ruaha Kilombero.
Mkutano unahutubiwa na viongozi wa mkoa wakiongozwa na kamanda...
Wakuu,
Kwanza naomba kudeclare kuwa mie si CHADEMA. Nimekuwa nikifuatilia majibishano ya John Shibuda na watu a chama chake. Fine. Nikajiuliza.........
Kweli kwa sasa nchi yetu inahitaji raisi wa...
Nilitarajia mapokezi makubwa kwa Kiongozi wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipotokea Marekani alikokuwa amehudhuria mkutano wa Nchi matajiri zaidi duniani G8 kama mualikwa. Mambo hayakuwa hivyo...
nIPO viwanja vya soko la mwanga makamanda wa CDM wananguruma hapa wakiongozwa na Godbless Lema
Magamba yanauwawa hapa sina kamera hapa lakini hali ni tete kwa wamagamba ulinzi upo wa kiishkaji tu...
Kusema kweli mapambano ya ukombozi wa nchi yetu yametusomba sote kwa nyakati tofauti tofauti.
Nikwakutumia ukiritimba huu CCM waliweza kututeka kifkra hasa kwa kutumia kauli za zidumu fikra za...
ZITTO KABWE:
Matumaini mapya yameanza kuchomoza
Zitto Kabwe
Toleo la 240
23 May 2012
JUMATATU hii ya Mei 21, nimeanza ziara yangu ya mafunzo hapa Uholanzi pamoja na wabunge...
Wanajamvi,
Kwa wale wanaokumbuka vizuri miaka ya sabini na themanini kulikuwa na huu wimbo, Mabepari walia, mabepari walia wakatiwa mirija. Walipotangaziwa, walipotangaziwa azimio la Arusha.
Wengi...
Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na maandamano kutoka sehemu na vitongaji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam na kuishia katika viwanja vya JANGWANI, siku ya Jumamosi, Tarehe 26 Mei, 2012...
Wanamzumbe naomba niwasalimu kabla ya kuwahabarisheni yale msiyoyafahamu, kuna WIZI na UFISADI mkubwa umetokea katika pesa zetu tunazochanga kama ada ya association, Siwezi pita vumbi wakati lami...
Star Tv Habari
Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014...
Jinsi habari za Babu wa Loliondo na Muswada wa Marejeo ya Katiba zilivyoteka akili na ufuatiliaji wa Watanzania,kuna wasiwasi kuwa yale malipo tata ya Kampuni ya Dowans yameshafanywa kisiri na...
Naomba ufikirie kama elimu yako imekusaidia na zaidi elimu ya siasa kama imetoa tija/gawio kwa taifa.
Elimu ya Mzungu kwa manufaa ya mzungu au na wadandiaji tumo? ninakufundisha kupikia gesi sio...
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in...
Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na maandamano kutoka sehemu na vitongaji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam na kuishia katika viwanja vya JANGWANI, siku ya Jumamosi, Tarehe 26 Mei, 2012...
Katika kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2010, Dr. Chami aliwahamasisha wananchi wa Moshi Vijijini na kuwezesha kukusanya kiasi cha Sh. 50,000,000/= ili zisaidie kampeni za urais wa JK...