Hello wana JF,
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hoja mbalimbali zinazotolewa na ndg yetu bw W. Malecela. Imefika mahali nikiri kwamba ninapata ukakasi kusoma hoja anazozitetea kama hili la posho...
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi...
Nathubutu kusema mh. Mnyika kuwa ni jembe, bingwa wa kufikiri. Naamini wote mtakubariana nami. Nasema hili kutokana na uwezo wake bungeni wa kujenga hoja na kukubarika na wabunge wote bila kujari...
Ziara ya Mwenyekiti Bavicha Heche (katika picha) akisambalatisha ngome ya Anna Kilango same
1. alifungua matawi ya CDM same
2.alipokea wana ccm wakiwemo viongozi wa vijiji na vitongoji
3 na...
Je chama kina msimamo gani na jambo hili?Kama chama hakiungi mkono maswala ya posho je wabunge wanaopokea wanawachukulia hatua gani?Wenye kujua mambo karibuni.
wakuu nipo chuo kikuu Ardhi nauza sura,kila pande nimezungukwa na mabango ya mkutano wa kesho wanafunzi wa hapa wanaonekana wana mwamko sana na cdm kwan kila ninaemuuliza anasema kesho lazima...
BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE Mwenyekiti wa baraza la vijana siha kafiwa na shangazi yake
mipango ya mazishi inafanyika Dar na NAWERU SIHA tumfariji kamanda wetu imma
WanaJF,
Ktk hali ya vuta ni kuvute hatimaye kambi ya Luhanjo yenye madiwani 6 (kata 6) wa tarafa ya Wanging'ombe (total population 53,000)waliokuwa wanapendekeza makao makuu ya wilaya mpya ya...
Jamani wiki iliyopita nilitembelea Kenya, kilichoishangaza ni kuwa kila unaponunua kitu lazima upewe risti na usipochukua mtoaji na walio jirani wanakushangaa sana. Na wanakwambia kuwa ni jukumu...
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.
- Huu ndio mfano...
Friday, May 25, 2012
Mbunge wa jimbo la Kilolo Profesa Peter Msolla
Na Francis Godwin Blog,Iringa
BAADA ya mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) kuweka...
Katika jambo ambalo limekuwa linakatisha tamaa juhudi za kupambana na wezi wa mali za umma TZ (mafisadi)ni utendaji wenye utata mkubwa wa ofisi ya DPP na boss wao Feleshi.....Kuna rejea nyingi...
Hivi mheshimiwa wa jumba hili la TANZANIA anajua kwamba yale maisha bora bado hajatufikia pamoja na kufanya kazi kwa bidii? Inawezekana anadhani huku kwetu tunakula maisha kwenda mbele. Mbona ye...
Leo mchana rafiki yangu wa karibu sana mzaliwa wa Bukoba anafunga ndoa na Binti wa Kingazija kutokea Pemba, Kilichounganishwa na Mungu Binaadamu haruhusiwi kukitenganisha.
Mwenyekiti moja katika kata ya Mabawa B huko Tanga, alikuwa anahaha siku nzima ya leo kutafuta hela ya kununulia maji na soda kwajili ya mkutano wa Diwani katika kata ya mabawa B.
Kilinocho...
Ye yote anayetaka kujua jinsi masuala ya Muungano yalivyotusumbua katika historia yetu ya takriban nusu karne atakumbuka mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na tume na kamati mbalimbali zilizoundwa...
Wapendwa wanairamba, kuna hii ishu ya mheshimiwa wetu, mashuhuri kama campaign manager wa ccm, kaingia mitini akifanya kazi ya kutafutia wengine ubunge wakati hali ya iramba magharibi inazidi kuwa...
Hivi kwa nini huwa wanazipeleka kwa viongozi wa CHADEMA wakati sio waliowapa, toa maelekezo hizi kadi ziwe zinarudishwa ofisi za CCM.
Na aliyeanzisha huu mchezo ni nani?
Hali ya mambo ni nzuri watu hawana munkari kama ilivyotarajiwa hasa wale wa Chadema ndio wengi na wanaonyesha wana matumaini ya Ushindi,
Hukumui haijaanza kusomwa tunaelezwa itaanza mida ya...