Kikwete aweka shida chini na kubanjuka tuu. Anaruka juu kwenda nga'mbo tuu...

Mwenyeminazi

Senior Member
May 24, 2012
194
67
Hivi mheshimiwa wa jumba hili la TANZANIA anajua kwamba yale maisha bora bado hajatufikia pamoja na kufanya kazi kwa bidii? Inawezekana anadhani huku kwetu tunakula maisha kwenda mbele. Mbona ye MATABASAMU TU pamoja na shida zooote tulizonazo. AU NDIO KAWEKA SHIDA CHINI NA KUBANJUKA TUU
 
DNA%20-%20Banjuka%20Tu.jpg
 
Upuuzi mwingine mngekuwa mnaumalizia huko vichwani mwenu AAAHHGHA!!!
 
Mkulo aliposoma bajeti ya mwaka juzi alisema KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE....na msemo huo unajidhihirisha kwa mtindo huo.
 
Huyo anaitwa the FLYING PRESIDENT the first in the world big up JK nani aliwahambia wakuchague, kula maisha.
 
Back
Top Bottom