Vua gamba vaa gwanda: Heche aisambaratisha ngome ya Kilango Same

Vua gamba vaa gwanda: Heche aisambaratisha ngome ya Kilango Same

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
1,516
Reaction score
136
Ziara ya Mwenyekiti Bavicha Heche (katika picha) akisambalatisha ngome ya Anna Kilango same
1. alifungua matawi ya CDM same
2.alipokea wana ccm wakiwemo viongozi wa vijiji na vitongoji
3 na kufanya mikutano jimboni kwa Anna
 
attachment.php
 
hii gharika hakuna gamba atakayenusurika 2015
 
Kuna watu wanafanya kazi nzuri sana halafu wanakuja wapuuzi kujifanya ni mabingwa wa kutoa "matamko". Mbona kwenye hizi harakati hatuwaoni?
 
Nadhani sasa hata wazee wamezinduka kutoka kwenye usingizi na kuona hali halisi
 
Kuna watu wanafanya kazi nzuri sana halafu wanakuja wapuuzi kujifanya ni mabingwa wa kutoa "matamko". Mbona kwenye hizi harakati hatuwaoni?

Hivi uchaguzi unaofuata utakuwa mwaka gani vile? watu kama yule mdada ni wa kung'oa mapema ndani ya Chama kwani kesha onyesha rangi zake mapema kakisaidia sana chama kumjua mapema
 
It really warms my heart! O yes, it does!
 
Yule Dada ngoja aendelee na Matamko, mimi nahisi ameisha shitukiwa siku nyingi, kwanza nilikuwa simkui,
 
Ziara ya Mwenyekiti Bavicha Heche (katika picha) akisambalatisha ngome ya Anna Kilango same
1. alifungua matawi ya CDM same
2.alipokea wana ccm wakiwemo viongozi wa vijiji na vitongoji
3 na kufanya mikutano jimboni kwa Anna

Hure hureeeeeeeeeeee!Upareni kumekucha. Anne Kilango hana kitu tena pale.
Wapare WEREVUKA yaani Wapare wamekuwa waerevu, hawadanganyiki tena na Chama cha Magamba-CCM. Anne Kilango kwishne!!!
 
Kweli hao ni pure Wapare. at last wamempokea CDM kuwa mkombozi wao.
 
Yule makamu mwenyekiti wa bavicha niwa kusamehewa bure maana halijui alitendalo. Watu wanapinga mahali shibuda alipo tolea tamko yeye anapinga tamko alilopewa shibuda! Kwake yeye mahali aliposemea shibuda si tatizo! Hovyo...
 
Ohoo!nilidhani cdm ni ya vijana kumbe hata wazee wanatuunga mkono hivi,ccm tulikupenda sana ila mafisadi wamekupenda zaidi!
 
Yule dada tungeangalia historia yake kwenye siasa na cv pia mimi ananipa mashaka makubwa.pls mwenye nazo atuwekee hapa.
 
Back
Top Bottom