Ni wabunge wangapi wa chadema hawachuki posho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wabunge wangapi wa chadema hawachuki posho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wingu, May 25, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Je chama kina msimamo gani na jambo hili?Kama chama hakiungi mkono maswala ya posho je wabunge wanaopokea wanawachukulia hatua gani?Wenye kujua mambo karibuni.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hakuna mbunge ambae hachukui posho...
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wote wanachukuwa posho kasoro Zitto Kabwe peke yake.
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kuna mnafiki mmoja tu ambae hachukui
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Issue siyo wabunge wangapi wa chadema hawachukui posho, bali iundwe sheria ya kufutwa posho kwa wabunge na watumishi wa serikali na mashirika ya umma
   
 6. e

  environmental JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  unafiki una uhusiano gani na kufanya kazi kwa kujitolea?
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Vipi kwa upande wa Chadema nini wanasema kuhusu wabunge wao wanaochukua posho?
   
 8. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wote hawachukui poshoooooooooooooo
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nasikia huyo ambaye hachukui posho unachukua wewe kama ujira wa kumpa masaburi
   
 10. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Point of correction, CDM hawachukui posho, wanawekewa posho kwa lazima. Waliiomba yawepo madaftari mawili, la posho na la mahudhurio, wangekubali hili ndio tungesema kwa hakika wangapi wanachukua.
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mkishikwa pabaya mnatoka mapovu badala ya kurekebisha msonge mbele!!!! HUO NDO UNAFIKI AMBAO SHIBUDA ALIUKATAA.......MKIKAA KWENYE MA-TIVII MNAPINGA TENA KWA KAULI MBIU YA PIPOZ PAWA,MKIZUNGUKA MNACHUKUA!!! HAMNA TOFAUTI NA WANAOIKUBALI MOJA KWA MOJA!!
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu acha basi kuongopa. Zitto naye anawekewa kwa lazima? Suala la posho linaiumiza CDM. Haya ni miongoni mwa matamko ambayo utekelezaji wake umekuwa mgumu. Pamoja na kwamba kuwe na sheria lakini pia kuwe na pressure kama ya Zitto ili kuzisusia posho.
   
 13. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Msingi wangu wa kusema wanalazimishwa/wanalazimika unatokana na posho huwekwa moja kwa moja kwenye akaunti zao baada ya kusaini daftari la mahudhurio, that's why kuna wakati Zitto alikataa kusaini mahudhurio. Waweke madaftari mawili then tutawajua vizuri.

  That's my point, unless tutatenganisha hivi vitu, CDM watakuwa wanalazimishwa kuchukua.
   
 14. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Posho za wabunge wa Chadema zitajenga barabara km ngapi? au Shule ngapi? Hoja kubwa siyo kama wanachukua au hawachukui. Hoja hapa ni kwamba msimamo wa Chadema ni kupinga Posho kwa viongozi wote, siyo bungeni tu bali hata serikalini. Kama wanachukua au hawachukui si hoja, wala haibadilishi sera ya Chama. By the way, kumsusia mlevi pombe atakushukuru tu - no profit in my view.
   
 15. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gamba yuko kazini! Jibu analo ila anashindwa ku-analyse.
   
 16. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nilishamsikia ZITTO peke yake wengine labda wamekosa msimamo
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kama chama chenyewe kinachukua RUZUKU sioni mantiki ya wabunge wao kuacha kuchukua posho hii.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160

  Mungi umeiweka vizuri sana, hoja ya msingi ni hiyo ya kufutwa posho hizo ambazo ni za kinyonyaji lakini pia ni za kibaguzi. Tuwe wakweli hakuna mbunge yoyote ambaye hachukui hiyo posho kwa sasa, Uongozi wa bunge umewatega wabunge kwani form ya mahudhurio ndiyo hiyo hiyo form against which posho is paid INTO THE ACCOUNT of an mp. Hivyo there is no room, as of now, for an MP to evade receiving the posho because failure to fill the attendance form for 3 consecutive sessions leads to one's expulsion from the parliament for absenteism. Japo kwa kutafuta cheap popularity kuna mbunge mmoja kijana amekuwa akieneza uongo kuwa hapokei posho SI KWELI.
   
 19. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  pesaaa pesaa pesaaa nani kazileta!?aliyeleta pesa duniani-kaleta mambo!
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mnajua ifike mahali sera za chama ziwe wazi na zifuatwe hata kama zinaumiza.Haya wanaingiziwa kwenye a/c zao kwa lazima kwa nini chama isizikusanye na kuzirudisha?Kwani huyu zitto yeye anafanyaje mpaka anasema yeye hapokei kabisa?Mungu kisaidie chama changu chadema kushindana na haya majaribu.
   
Loading...