Mfano wa Kuigwa CCM & Chadema; Huu Hapa!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.

- Huu ndio mfano wa kuigwa na chama chochote cha siasa iwe hapa au Duniani popote pale, hope CCM will take a note here, kwamba zamani Mwalimu Nyerere alifanya haya ya kufikisha chama kwa wananchi kwa kuanzia na watoto, tukiwa watoto tulicheza halaiki, tulicheza Chipukizi, tukiwa Sekondari tulicheza halaiki, and then tulienda JKT!

- Siku hizi ni kila mtu na lwake, ujitahidi mwenyewe tu ufike juu hamna matayarisho no wonder tunakuwa na viongozi wasiowakamilifu na itikadi tena wengi sana!

William.
 
Mtoto mdogo hana utashi wa kuamua jambo lolote gumu. Akifika sekondari au Chuo Kikuu ataamua lipi baya na lipi jema. By the way hajui nini maana ya vyama vy siasa, maisha, uchaguzi n.k
 
Hayo ilikuwa rahisi kufanya kipindi cha chama kimoja, kwa sasa hayo hayawezekani tena. Huwezi kusema Chadema, CCM na CUF waanze kuingia mashuleni kuhamasisha vijana , hapo itakuwa vurugu mechi. Mimi siwezi kumjaza mwanangu itikadi za kichama nataka akue mwenyewe aamue nini ni kizuri kwake.
 
Sujakuelewa sasa hapo CHADEMA na watoto wa shule za msingi wapi na wapi wakati mnasema siasa hazitakiwi mashuleni

- Kule US Jeshi la Amerika hupeleka matoi ya kijeshi kwenye shule za chekeckea kuwatayrisha na vita mbele ya safari, unafikiri US wanaingia vita kwa bahati mbaya, hapana ni national interest, huwa inaazia kwenye watoto!

William.
 
Mkuu huyo Dogo nafahamu Kwao wako freshi na hasomi hizo shule za ST GORVERNMENT, kwa nini asingeenda kupiga picha na watoto wa ST MARY, NA KAZALIKA?

Na huyo DOGO KUNA THREAD ILIKUWA JUKWAA LA PICHA AKIWA AMEPOZI KWENYE V8 YA CCM, hapo hakuna kitu na Kajukuu ka mafisadi tu na kanapewa mazoezi ya kuja kuwa FISADI MKUU,
 
Siku hizi CCM wamebadilisha style badala ya kupititia mashuleni kama alivokuwa enzi za nyerere wanapitia kwa watoto wa vigogo. Hata ukijitahidi mwenyewe ufike juu lazima wakupige zengwe na hapa ndio wamepoteza.
 
Mkuu mimi nitatofautiana na wewe

watoto wanahitaji kulelewa kulinda utaifa na uzalendo nasio kuwa wanachama wa vya fulani na fulani

ukiwalea watoto wawe washabiki wa vyama vyenu hivi, ni kama kudidimiza bongo zao zisiwaze properly katika almost kila kitu! let them gro and decide

watoto wanaweza kuota ndoto nzuri za kuwa marubani au marais tu!

washabiki wa kisiasa huwa na upungufu wa akili kwa asilimia karibu 45 mpaka 60 (uisulize nimejua wapi)...Ndio maana wanachadema wako tayari kubisha lolote lile la CCM hata kama lina manufaa kwa taifa, CCM hali kadhalika wako radhi wabishe na kupinga hata kwa kutoa damu chochote wanachoshauriwa au kufanya na chadema hata kama jambo hilo lona manufaa kwao wenyewe na vizazi vyao!!

kuingiza these thinkings to our kids and young brothers ni kuzaa taifa lisilojali wahandisi, madaktari n.k!!!

Huyo Mwakibinga hapo pichani amechemka tena vibaya mno!!

Chipukizi nimefanya na kuwa kiongozi mkubwa tu, skauti nimecheza, nyimbo za taifa nimeziimba na zote ziko kichwani,

NILIONA KAMA zile nyimbo na zile activities ni za kulijenga taifa na uzalendo, na sio chama.......si kilikuwa kimoja tu! na kila anayezaliwa ana kuwa assumed ni mwana CCM!!! LOL!

Leo hii let these vyama viweke acivities za uzalendo zaidi....

ukisema vyama vishuke mpaka huko primary kujijenga ......!! usije ukakuta watoto wanauawa! kwa nini?

sasa kama chama ukisema tu unataka kugombea urais unataka kuliwa nyama mtoto gani ataota ndoto za kuwa rais kupitia chama hicho!! usije ukakuta Bavicha wataongea na wakuu wa shule kuwa mtoto akisema tu anataka kuwa rais kwa chama chao atimuliwe shule.....!! sound joking??? no..very serious problem

ukiwa mshabiki wa vyama ujue una mzigo afadhali uwe mshabiki wa Yanga, ukila tano na simba mnamtafuta mwenyekiti yuko wapi!
 
- No wonder unaweza kufikiri vizuri, kumbe ulipitia haya ninayoyasema, sawa sawa mkuu!

Malecela pale ninapoona sioni cha kujivunia nchi yangu hii ya mama yangu, narudi those days....naanza kuimba wimbo mmoja baada ya mwingine, nakumbuka marafiki zangu wa kipindi hicho, dunia isiyo na huruma imetutupa huko na huko!

Longing for the past (nostalgia) is always my desire!

My all time fav. song is,

Tazama ramani utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya yangekuwaje sasa? Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
.

Chemchem ya furaha ama nipe tumaini, kila mara kwako niwe nikiburudika.
Nakupenda hasa hata nikakufasiri, nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya yangekuwaje sasa? Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha.

Nchi yenye azimio lenye tumaini, ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania
Ninakuthamini hadharani na moyoni, unilinde nami nikulinde hata kufa.

xxxxxxxx
 
Nina wasiwasi sana kuhusu yale matokeo ya EALA kama yamemwacha huyu jamaa salama. Mbona kama reasoning capacity yake imeshift from normal to abnormal ? Mbona kwa kipindi kifupi sana ? Nini kimetokea ?

- ha! ha! ha! bro huku bongo hizi zinaitwa swagazzz!, I mean a normal perosn like you kuja kujadili na abnormal inajisema yenyewe kama wewe ni what? ha! ha! ha!

William.
 
Malecela pale ninapoona sioni cha kujivunia nchi yangu hii ya mama yangu, narudi those days....naanza kuimba wimbo mmoja baada ya mwingine, nakumbuka marafiki zangu wa kipindi hicho, dunia isiyo na huruma imetutupa huko na huko!

Longing for the past (nostalgia) is always my desire!

My all time fav. song is,

Tazama ramani utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya yangekuwaje sasa? Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
.

Chemchem ya furaha ama nipe tumaini, kila mara kwako niwe nikiburudika.
Nakupenda hasa hata nikakufasiri, nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya yangekuwaje sasa? Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha.

Nchi yenye azimio lenye tumaini, ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania
Ninakuthamini hadharani na moyoni, unilinde nami nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya yangekuwaje sasa? Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
.

xxxxxxxx

Mkuu umenigusa sana.. Umenirudisha nyuma abt 33 years ago.. Tulikuwa tunaimba hizo nyimbo kwa hamasa na uzalendo wa hali ya juu.. Ninajicikia fahari sana kuwa mmoja wapo wa watoto tuliofanya halaiki pale uwanja wa taifa.. Watoto ambao tulitimiza miaka sawa na miaka 10 ya Azimio la Arusha..
 
- Unaona sasa kumbe tupo wengi sana humu, sawa sawa mkuu!; SALUTE!

William.
 
Back
Top Bottom