Mkutano wa Diwani Kata ya Mabawa "B" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa Diwani Kata ya Mabawa "B"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by uniq, May 25, 2012.

 1. uniq

  uniq JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 3,875
  Likes Received: 26,983
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti moja katika kata ya Mabawa B huko Tanga, alikuwa anahaha siku nzima ya leo kutafuta hela ya kununulia maji na soda kwajili ya mkutano wa Diwani katika kata ya mabawa B.
  Kilinocho nisikitisha mimi nikwamba kuna wananchi wenye shida sana katika kata hii ya mabawa B. Lakini sija sikia hata siku moja Mwenyekiti wala Diwani wala Mbunge akisema leo tufanye harambee kwa jili ya kuwachangia wananchi wenye hali duni katika kata hii. Inasikitisha sana kuwa na viongozi kama hawa.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  umemaliza la saba mwaka gani? lini ulianza kujifunza kompyuta?
   
Loading...