Willium Malecela Vs January Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Willium Malecela Vs January Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Mkuu, May 24, 2012.

 1. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hello wana JF,

  Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hoja mbalimbali zinazotolewa na ndg yetu bw W. Malecela. Imefika mahali nikiri kwamba ninapata ukakasi kusoma hoja anazozitetea kama hili la posho za wabunge na kwmb wabunge ni watu muhimu zaidi ktk hili taifa. Historia ni mwalimu mzuri sana; hivyo ninaamini kwa kuwa huyu mtu ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe na pia amepata exposure ya kutosha hoja zake zingekuwa na mashiko zaidi. Nimejikuta najaribu kumlinganisha na mwanasiasa kijana (January Makamba) na ambae pia ni mtoto wa mtu ambae amekuwa serikalini na kwenye chama kwa muda mrefu. Birds of the same feathers do flock together, kutokana na background yao, hopefully these people are friends and possibly learning from each other. Swali langu hapa ni je, twaweza kuwafananisha hawa watu? Willium na January. Lengo hapa ni kusaidiana ili kila mmoja atekeleze majukumu yake na kuepuka matusi yasiyo na lazima kutoka kwa raia wema.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Tuwekee hoja za JM ndio tujue ni vipi tunaweza kuzifanyia kazi. Otherwise HUWEZI kuwafananisha hawa wawili kwa namna unayotaka tufanye
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Kweli kuu, mada nyingine bwana hazina hata punje ya idea inayotakiwa ijadiliwe!
  Taabu tupu!
   
 4. s

  seseja Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwafananishe harafu iweje? wewe umejifananisha nao? hoja yako haina mashiko
   
 5. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  By the way, kumlinganisha January Makamba na Le Mutuz ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well, heshima yako mkuu hii kwenye siasa tunaita divide and rule, haina mashiko cause haina hii thread haina tija kwa taifa; Mh. Januari is a great friend, a great fella, smart, humble na very young for sure ni the future of this nation. He has all it takes kuwa effective leader wa this nation.

  - Ninakubaliana na hoja zake na misimamo yake mingi sana politically, lakini kwenye hili la posho hatupo wote it is ok ndio Demokrasia, lakini otherwise I have a lot of respect for him hasa his works ninaamini kwamba given a chance huko mbele ya safari atalisaidia sana hili taifa, kwa sababu he can think solutions very quick, badala ya kusbiri upepo wa siasa au kuulizaa kwanza hiyo sio his style, ambayo ndio style ya politicians wetu wengi.

  - HAVE A GOOD DAY BRO NA KIDUMU CCM!

  William.
   
 7. M

  MTK JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Wakuu nadhani tutakuwa na tija zaidi kwa kuendelea kudadavua hoja au topic aliyoiibua Bw. WJSM badala ya kuwajadili watu kwa sababu wasifu wa mtu binafsi hauna tija katika mada iliyopo mbele yetu.
  Kuokoa matumizi mabaya ya kodi ya mlalahoi hakuwezi kusababishwa na wasifu binafsi wa WJSM au JM au mtu mwingine yoyote bali kwa nguvu ya hoja zenye mashiko za watanzania katika ujumla wao.
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu William hii mada ilikuwa inatuhusu sisi kuwalinganisha nyie wawili na si wewe kujibu kama ulivyofanya.
  Tunajua kuwa wewe ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi,hivi ikija kutokea CCM ikafa,je wewe hautodumu?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,201
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wiliam badilisha hilo avatar lenye nguo ulioazima kwa baba yako unaonekana kama una miaka 90
   
 10. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kwa Mimi ninayefuatilia Siasa za Tanzania kwa karibu kumlinganisha Mh. January Makamba na William Malecela, unakuwa hujamtendea haki kabisa Mh. January. William is a myopic opportunist politician with no VISION.

  Tatizo la Makamba yuko kwenye li-Chama ambalo halitoa fursa kwa wanachama wake KUKOSOA pale inapobidi, mbaya zaidi li-Chama linalokumbatia UFISADI no wonder alim betray Zitto kwa kuto sign ile karatasi ya kutokuwa na imani na PM.
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Yamekua haya sasa? ha! ha! ha! ha!, yaani chama tawala kife kwa vipi bro?


  William.
   
 12. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Umenivunja mbavu, ninajua sana kwamba ndio tatizo hasa ila mnazunguka mbuyu tu, vipi watu! ha! ha! sasa unataka nivae gwanda la kuwindia? ha! ha! ha!, now I promise siji tena hii thread! ha! ha!


  William.
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  yusufu makamba kambeba mwanae january makamba na kamfikisha juu kisiasa,john malecela amejaribu kumbeba william malecela lakini hajafanikiwa hadi sasa,.labda le mutuz habebeki
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Anakufa mwanadamu alyeumbwa na Mungu sembuse hlo lichama la magamba?
   
 15. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Please we need to have a mercy in our JF Servers by storing GT materials only.To me this is nonsense
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Too many assumptions, not enough facts.
   
 17. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Najaribu tu kupata picha kama ilivyotokea Tunisia,maana kimbunga kinapokuja huwezi kukizuia.
  Kwani huamini kuwa inaweza kutokea siku moja CCM ikafa?
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,788
  Likes Received: 83,160
  Trophy Points: 280

  Hahahahahaha LOL! labda kazeeka ghafla baada ya kukosa KULA za ulaji kule katika Bunge la Afrika ya Mashariki
   
 19. a

  andrews JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NILISHASEMA HILI NI GAMBA TENA LIMEPIGWA NA BARIDI KUTOKA USA,ANGALIA LINAVYOJIPENDEKEZA KILA KUKICHA KUPIGA PICHA NA WABUNGE RUDI USA UKAVUE SAMAKI.:baby:
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - I see hebu niacheni nipumzike bana! ha! ha! ha! ha!, mimi simo kwenye maandamano ya kwenda Clouds na m4ceee! ha1 ha! ha! ha!


  William.

  William
   
Loading...