Kama ilivyo vigumu kwa kaskazini kujitenga ndivyo ilivyo kwa zanzibar pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ilivyo vigumu kwa kaskazini kujitenga ndivyo ilivyo kwa zanzibar pia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, May 25, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Leo mchana rafiki yangu wa karibu sana mzaliwa wa Bukoba anafunga ndoa na Binti wa Kingazija kutokea Pemba, Kilichounganishwa na Mungu Binaadamu haruhusiwi kukitenganisha.
   
 2. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  hongera kwao
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Wazanzibari wanatakiwa kutafuta mbinu mbadala vinginevyo kwa watawala tulionao hivi sasa kujitenga ni ndoto!
   
 4. M

  Mwedi Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So what,kwani haiwezekani raia wa nchi mbili tofauti wakafunga ndoa? au hujawahi kuona?
   
 5. a

  abu alfauzaan Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole kwa kuchelewa kuyaona hayo,
  yameshatokea hayo zaidi ya miaka mia iliyopita na yataendelea kutokea,
  wazanzibar wanaolewa usa,uk,asia,india,south afrika,kenya,uturuki,uganda,n.k
  kumbe hupo dunian mwenzangu!,
  wa wapi!?,punguza ujinga
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mhurumieni mwenzenu ndiyo uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo. Hajawahi sikia watu wa mataifa tofauti wakioana.
   
 7. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Zanzibar kujitenga na bara hakuna usalama
   
 8. m

  mzaire JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia jana usiku wa Alkhamis Swahibu wangu wa kimakonde kafunga ndoa na binti wa Kitur-kana kutokea Kenya, sijui tumeungana nao hao wakenya au......??
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani mungu ndio aliunganisha tanganyika na zanzibar?? hiyo sio ukweli...Zanzibar ilivalishwa ndoa ya mkeka na tanganyika ndio maana mpaka leo hii migogoro ndani ya nyumba haiishi na zanzibar anataka talaka 3 akatafute bwana mwingine.
   
 10. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Nilivyofahamu kuwa udugu unaweza ukawa bila ya kuunganisha mataifa.

  Kuna wachina hapo tanganyika wameshafunga ndoa na wamasai,sasa sijui muungano huu unalindwa kivipi ? Na siri yake hasa ni kitu gani,ikiwa upande mmoja wa muungano washaukana kikatiba hata kwa vitendoooo ?
   
 11. H

  Han'some JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nitamuoa Mchagga mwenzangu bz uhuru wa North unakuja soon chini ya Mangi. Capital ni Moshi. Arusha ni commercial city.
   
 12. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180

  Huu ni ugonjwa wakuto kufikiri, wewe unaona fahari kuoa ua kuolewa na Mzanzibar? Kipi kilicho ajabu kwako? Masuala ya mapenzi ni mambo mbali na harakati za kisiasa ,
  Tukiashana kuwa viongozi wengi wa Smz akiwemo Maalim Seif Sharif ,Shein ,Hamadi Rashid, wote wameowa Tanganyika na kupata watoto na wengine wamekwenda mbali hasa wameowa nje ya Tanzania, haya ma swala ya ndowa nimambo mbali .
  B. naona hapo umeshemsha Kusema Swahiba wako kafunga ndowa na Bint wa Kingazija kutoka Pemba dooo? Alooo inawezekana umetuzuga hapa tukiashana na kuwa wangazija ni tabu kuwaona wanaishi Pemba,.
  Lakini hata hivyo huyo kijana wako kafunga ndowa na Mgazija au Mzanzibar hebu tuweke sawa hapa?

  http://www.mzalendo.net/habari/hofu-ya-mtanganyika-nje-ya-muungano-ni-hii
   
Loading...