Jangwani kesho hapatoshi

karatta

Senior Member
Apr 2, 2012
109
46
wakuu nipo chuo kikuu Ardhi nauza sura,kila pande nimezungukwa na mabango ya mkutano wa kesho wanafunzi wa hapa wanaonekana wana mwamko sana na cdm kwan kila ninaemuuliza anasema kesho lazima aende jangwan,mbaya zaid kuna doctor mmoja nimeambiwa baada ya kumaliza lecture kawaambia'WALE WAPENDA MAENDELEO KESHO 2KUTANE JANGWANI',kwel nimekubal m4c mpaka kwa wahadhiri. May ALMIGHT GOD STAND 4 US,THIS COUNTY IS OURS,LETS IMPLEMENT M4C EVERYWHERE 2TAFANKIWA.
 
tusubiri kesho makamanda kwani unanipa steam tuuuuuu.... lala ya ngoma ucheze...
 
Ni kweli kwa mpenda maendeleo yeyote na mwenye uchungu na nchi hii na rasilimali zake kesho ajihimu aje jangwani vinginevyo atakuwa mchawi tuuuuuuuuuuuuuuu!!viva cdm m4c
 
Jamaani kumbukeni pia timu ye2 ya soka ya taifa inacheza kesho na malawi ktk mechi ya kirafiki ya kimataifa wengine tuwe kule tukiwapa sùppúrt mastaaz wa2
 
wakuu nipo chuo kikuu Ardhi nauza sura,kila pande nimezungukwa na mabango ya mkutano wa kesho wanafunzi wa hapa wanaonekana wana mwamko sana na cdm kwan kila ninaemuuliza anasema kesho lazima aende jangwan,mbaya zaid kuna doctor mmoja nimeambiwa baada ya kumaliza lecture kawaambia'WALE WAPENDA MAENDELEO KESHO 2KUTANE JANGWANI',kwel nimekubal m4c mpaka kwa wahadhiri. May ALMIGHT GOD STAND 4 US,THIS COUNTY IS OURS,LETS IMPLEMENT M4C EVERYWHERE 2TAFANKIWA.

Heading yako inasema Jangwani kesho hapatoshi.nafikiri umesema hivi kwa kumaanisha ule msemo wa kwawaida ya kwamba hatakama kesho timu yako inacheza na timu nyingine unaweza kumwambia mpinzani kesho hapatoshi,lazima mle bao! sasa mimi nasema KESHO HAPATOSHI nikimaanisha Jangwani itakuwa ndogo au sehemu ya mkutano itakuwa haitoshi kuwamudu watu watakaofika, subiri uone, ila nina wasiwasi magamba wanaweza kuzua intelijensia kuzuia au kutibua kwa kutumia polisisiem

CHUKUA CHAKO MAPEMA UENDE ZAKO CHADEMA,YAANI ACHANA NA CCM
 
wakuu nipo chuo kikuu Ardhi nauza sura,kila pande nimezungukwa na mabango ya mkutano wa kesho wanafunzi wa hapa wanaonekana wana mwamko sana na cdm kwan kila ninaemuuliza anasema kesho lazima aende jangwan,mbaya zaid kuna doctor mmoja nimeambiwa baada ya kumaliza lecture kawaambia'WALE WAPENDA MAENDELEO KESHO 2KUTANE JANGWANI',kwel nimekubal m4c mpaka kwa wahadhiri. May ALMIGHT GOD STAND 4 US,THIS COUNTY IS OURS,LETS IMPLEMENT M4C EVERYWHERE 2TAFANKIWA.

Dar es salaam sio Arusha, na DSM ndio Tanzania. CDM wao wenyewe waliisha sema kwa Dar hawana lao, kwani dar ina wenyewe sio km Arusha ambayo wenyewe hawapo. Na wengi dar mmehamia tu, sio wakazi wa dar
 
IDARA YA HALI YA HEWA IMEPOKEA MAELEKEZO KUTOKA IKULU KWAMBA KESHO MVUA INYESHE KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA TATU USIKU. Nasubiri kuona utekelezaji.
 
Kaka kesho kama itakuwa hivyo,ndio utajua kumbe raia waki hamasika labda mvua ya mawe ndio kikwazo kwa kile walichodhamiria
 
Dar es salaam sio Arusha, na DSM ndio Tanzania. CDM wao wenyewe waliisha sema kwa Dar hawana lao, kwani dar ina wenyewe sio km Arusha ambayo wenyewe hawapo. Na wengi dar mmehamia tu, sio wakazi wa dar

Wakazi wa dar ni nani? Wale wa awali walishasukumwa wako pwani, kisarawe na Bwagamoyo, hata kibaha mjini ilichakachuliwa tu. Unajidanganya. Labda vijibweni, lakini nao wamepata chuo kikuu, mpaka 2015 kitaeleweka. Unakumbuka Mrema na Temeke eee. We jidanganye tu.
 
Watu wa Arusha a.k.a Beghazi wameonyesha kwa vitendo njia ya M4C na tumejaribu kurudia mara nyingi sasa tunafanya mtihani wa kwanza Dar tuone kama hawa wanafunzi wetu wameelewa Somo. Je watafeli au watatoka with flying colours. Dar tuonyesheni mpo pamoja nasi plse ili Arusha tukiimba nyie mtupokee kwenye kibwagizo
 
Dar es salaam sio Arusha, na DSM ndio Tanzania. CDM wao wenyewe waliisha sema kwa Dar hawana lao, kwani dar ina wenyewe sio km Arusha ambayo wenyewe hawapo. Na wengi dar mmehamia tu, sio wakazi wa dar

Ukabila umekufanya uwe kama.......!

Dhambi unayo tenda ni mbaya sana.....!!

Kesho utaona......wazaramo wakwere watajaa Jangwani!
 
Ivi hii kitu kwa walio ne tutaipataje?
Any TV or Radio cover such an event?
 
M4C!!!!
Ni wakati CHADEMA inapaswa kutumia kukubalika kwake kujijenga mijini na vijijini!
DAR inahitaji kukombolewa ,maana mwamko wake dhidi ya mageuzi umekuwa mdogo mno!!!
 
Wakazi wa dar ni nani? Wale wa awali walishasukumwa wako pwani, kisarawe na Bwagamoyo, hata kibaha mjini ilichakachuliwa tu. Unajidanganya. Labda vijibweni, lakini nao wamepata chuo kikuu, mpaka 2015 kitaeleweka. Unakumbuka Mrema na Temeke eee. We jidanganye tu.

Wote karibia asilimia 80 si wakazi wa Dar na ww mwenyewe hapo sio mkazi wa dar, wengine mliletwa na mbio za mwenge, sasa utasemaje ww ni mkazi? Dar ina wenyewe mkuu soma historia yake sio arusha hapa

Watakaokuja huko ni WAKUJA TU ! sidhani kama mwana darisalama kindakindaki atakuja huko ! kwa hiyo kila utakaemuona hapo ujue si mwanadarisalama ni wale wakuja na magari ! wenyewe wapwani tumetulia tulii tunasubiri 2015 tuipigie CCM yetu, chama KISICHOBAGUA DINI WALA KABILA !
 
wakuu nipo chuo kikuu Ardhi nauza sura,kila pande nimezungukwa na mabango ya mkutano wa kesho wanafunzi wa hapa wanaonekana wana mwamko sana na cdm kwan kila ninaemuuliza anasema kesho lazima aende jangwan,mbaya zaid kuna doctor mmoja nimeambiwa baada ya kumaliza lecture kawaambia'WALE WAPENDA MAENDELEO KESHO 2KUTANE JANGWANI',kwel nimekubal m4c mpaka kwa wahadhiri. May ALMIGHT GOD STAND 4 US,THIS COUNTY IS OURS,LETS IMPLEMENT M4C EVERYWHERE 2TAFANKIWA.

hao wanafunzi wameshamaliza homework zao lakini...wana exams karibuni wakae chuo wasome waache siasa
 
Wakazi wa dar ni nani? Wale wa awali walishasukumwa wako pwani, kisarawe na Bwagamoyo, hata kibaha mjini ilichakachuliwa tu. Unajidanganya. Labda vijibweni, lakini nao wamepata chuo kikuu, mpaka 2015 kitaeleweka. Unakumbuka Mrema na Temeke eee. We jidanganye tu.

Wewee! nani kakwambia hivo? bado tupo ! tumejaa tele kwa taarifa yako! pale Kariakoo bado tunamiliki maghorofa kibao! na tumejaa ukanda wote wa Pwani! labda nyie mmejaza kuanzia Ubungo kwenda mbele huko ulipopataja ambapo kulikuwa porini simba wanalia! Dar ina wenyewe ! sisi tunakunywa kikombe cha kahawa nyie nendeni mkavuje jasho huko Jangwani! mwisho wa siku CCm inachukuwa nchi Tanzania!
 
Back
Top Bottom