TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KURUGENZI ya Ulinzi na Usalama ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inapenda kutoa taarifa kuwa matembezi ya wanachama wake kutoka maeneo mbalimbali ya...
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, ametoboa siri nzito, akidai kuwa mmoja wa wabunge wa jumuia hiyo, kutoka hapa nchini alitia saini mkataba wa mazingira ambao ni hatari kwa taifa, kiasi...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kina siri nzito kuhusu mapendekezo yake katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba, huku kikiwekeza nguvu za makada wake katika mambo ambayo hakitaki yawe sehemu ya mjadala...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk Wilbrod Slaa amesema vitendo vya ufisadi, ubinafsi, kutowajibika na kukosa uzalendo vimekuwa ni kielelezo cha taifa machoni pa...
nafikiri huu ni wakati muafaka wa mabadiliko katika hii katiba mpya, kama wagombea wa Urais 5 vyama mbalimbali ambao watakua watakua wamepitwa kwa kura na atakaechaguliwa kua Rais, hii itasaidia...
Habari zenu ndugu zangu. Ni muda mrefu sana sija post kitu wala kuanzisha thread humu ndani bali nimekua nikipitia tu maneno ya wengine. Wahenga walisema ni bora zaidi kusikiliza kuliko kuongea...
Kuna imani kuwa viongozi wetu wa juu wanashiriki au kushirikiana na wauza unga. Ndiyo maana wahusika hawakamatwi kwa vile wanaopaswa kuwakamata ndiyo wale wale wanufaika na jinai hii. Rais aliwahi...
KATIKA hali inayoashiria mwendelezo wa mfumuko wa bei nchini, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (Moi), imepandisha gharama za huduma zake kati ya asilimia 80 na 300. Ongezeko hilo la gharama za...
1.Bajeti ya Wizara ya Madini na nishati
-nguzo za umeme tuna nunua kati ya 900,000 na 1200,000,je ni haki
2.Bajeti ya Wizara ya uchukuzi na Wizara Viwanda na Biashara
-bei za ushuru wa...
Mbinu ambazo CCM imekua ikitumia katika siasa zake zimekua zikibadilika sana, Mbinu kama UENEZAJI WA PROPAGANDA dhidi ya upinzani(kama ya CUF na UDINI au CHADEMA na UKANDA au NCCR ya MREMA na...
Kutoka jikoni, kuna tetesi Chama cha Mapinduzi kimeanza kuweweseka na kasi ya CDM kila kukicha hasa operation zake ambazo zimeonekana kuwa na uamusho mkubwa sana wa wananchi na kukiweka chama...
NASIKIA KUNA BAADHI YA VIJANA WANAZUSHA KUWA SINA USHIRIKIANO NA WANANCHI WANGU NA NIKICHEZA 2015 JIMBO LITARUDI CCM!
Kwa ufupi sana naomba niandike hapa baadhi ya michango yangu kama Mbunge...
​
Mkutano mkubwa DMV utakao fanyika Mirage Hall. 1401 University of bld, Hysattsville, Maryland USA.[/B][/B] May 27, 2012. Kutoka saa 11 jioni (5pm)Wana diaspora wote mnakaribishwa...
Wakuu.
Nimekutana na hoja za huyu bwana anaye onekana amekerwa na hisia za ukabila wa Shibuda juu ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) na ameamua kufunguka na kuweka msimamo wake kama...
Nasikia Serikali imepiga marufuku ule mkutano wetu mkuubwa pale jangwani. Nani anaweza kulielezea hili zaidi ya sisi wapenda haki na amani kuona ni uoga wa magamba kuvuliwa na kusetiriwa na...
Waja jamvi naomba kujua ya kuwa pindi uchaguzi mkuu wa urais,ubunge na udiwani unapomalizika na ili rais aweze kuapishwa na jaji mkuu,ni jaji yupi anayemwapisha ?,je yule aliyechaguliwa na rais...
Na Bryceson Mathias, Mvomero
DIWANI wa Sungaji, Athumani Mkimbu anatuhumiwa kwa kuhodhi fedha za ujenzi wa zahanati kiasi cha sh milioni 4.8.
Madai hayo yalitolewa hivi karibuni na...