Naomba kujua ili la kuapiswa rais wa jamhuri ya muungano wa tz

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,735
5,401
Waja jamvi naomba kujua ya kuwa pindi uchaguzi mkuu wa urais,ubunge na udiwani unapomalizika na ili rais aweze kuapishwa na jaji mkuu,ni jaji yupi anayemwapisha ?,je yule aliyechaguliwa na rais mida si mrefu baada ya rais kuchaguliwa na wananchi? ,na kama ni hivyo rais akikosea jaji huyo mtoto wa baba rais atathubutu kwa rais?,au anaapishwa na jaji wa zamani kabla ya jaji mkuu mpya hajaapishwa?
 
Back
Top Bottom