Wabunge Wazichapa Kavu Kavu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Wazichapa Kavu Kavu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, May 26, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Vyama vya Upinzani huko Ukraine wametaka kuchomoana roho baada ya kupingana kukubaliana katika mswada wa lugha ipi itumike mahakamani.....William.
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Ok!, seen
   
 3. Amalinze

  Amalinze JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 6,452
  Likes Received: 3,073
  Trophy Points: 280
  it's so amazing,only that? or there was other issue!
   
 4. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hi, William.
  Tuweke source kama hauna, kakojoe uwahi kwenye misele.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nimefungua haraka haraka kumbe Ukraine.
   
 6. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Na nyie ccm mpaka tuzichape tu ndo tutaheshimiana.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,472
  Trophy Points: 280
  source gani wakati cnn na bbc siku nzima walikuwa wanarudia rudia hi habari............
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  imetangazwa pia na mlimani tv
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa nina hamu ya ku comment huu uzi lakini tatizo wakubwa wa humu wana ni monitor kweli yaani nachezea kadi ya njano hapa...yaani nikikosea tu nalimwa RED...ngoja nikae kimya mie mtoto wa kihehe..ndimgaya sida beeh
   
 10. p

  politiki JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hivi ndivyo itakavyotokea mwaka 2015 wakati wabunge wa CCM watakapokatiwa Posho nakuambiwa waishi kwa mishahara yao tu.
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Teh teh, unaogopa BAN mkuu?
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nilijua kwamba yamefika Tanzania!
  Lakini, tuko very close na hapo
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Wala hatujakaribia hapa aisee, labda ccm ndo hawana uvumilivu siku wakigeuka wapinzani wataanza kuonyesha miujiza. Mambo wanayofanyiwa bungeni wapinzani, mie ningekuwa walau na bwana kule mjengoni ningekuwa navunja tv daily!
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  William baada ya hapo heshima huwepo tofauti na wabunge wengi wa CCM ambao kazi yao ni kusinzia tu bungeni na kukubali kila kitu hata kama hakina maslahi kwa taifa ili mradi yawe ya CCM.
  Siku ikitokea hapa kwetu heshima itakuwepo na wabunge wetu wataamka.
   
 15. M

  Masabaja Senior Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo si uwapeleke polisi sasa unatuambia hili iweje, hata kulala ni kazi si uende
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu Mungi,
  W. J. Malecela hajui kuform heading. Tukimwambia atulie ajifunze anaanza kuleta story zake za kuishi Marekani miaka 20.

  TUMBIRI

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Acha wapate muafaka kwa ngumi
   
 18. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  thread hii inaelekea ilitupwa humu jamvini kwa kutoa ujumbe fulani vile. ukizingatia thread imeletwa na sisiem idumu manake wapinzani wajiandae kwa ngumi siku zijazo. ila wm usitegemee wapinzani TZ wakatupiana masumbwi hata siku moja.
  hayo makundi yenu humo ndani ndo yataleta show siku moja mjengoni.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Uzuri wabunge wakichapana bungeni iwe Urusi, Japan, Ukraine huwa hakunaga kesi, mnapigana yanaisha kimya kimya :happy:
   
 20. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  Hapa kwetu inabidi wabunge wengine wawe wanapigwa...waache mawazo mgandoo
   
Loading...