Wachaguliwe kuwa wabunge wakikosa urais

Confident Man

New Member
May 25, 2012
1
0
nafikiri huu ni wakati muafaka wa mabadiliko katika hii katiba mpya, kama wagombea wa Urais 5 vyama mbalimbali ambao watakua watakua wamepitwa kwa kura na atakaechaguliwa kua Rais, hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupata mawazo yao ktk bunge kwa maendeleo ya taifa hili, hii pia itasaidia kujaza watu wenye kutetea watanzania kuangalia kwa ku2mia ilani zao, pia 2taweza kugundua uwezo wa viongoz hao ambao walikua ktk kinyang'anyiro cha kugombea Urais, pia hawa viongoz wataleta mapinduz ktk bunge kutokana na kua walikua na mambo ambayo km wangekua marais wangeyafanya hivyo wakipewa nafasi za kua wabunge wataweza kutoa mawazo yao na juhudi zao juu ya kuwakomboa watanzania kutoka ktk uwanja wa umaskin ikiwa tuna kila aina ya rasilimali ila tunaendelea kua maskini
 
Back
Top Bottom