CHADEMA: Mkipitisha bajeti hizi hamfai kupewa nchi 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA: Mkipitisha bajeti hizi hamfai kupewa nchi 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halfcaste, May 25, 2012.

 1. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  1.Bajeti ya Wizara ya Madini na nishati
  -nguzo za umeme tuna nunua kati ya 900,000 na 1200,000,je ni haki
  2.Bajeti ya Wizara ya uchukuzi na Wizara Viwanda na Biashara
  -bei za ushuru wa kuingiza magari zimekuwa za kumkomoana mtanzania asiweze kununua gari.hadi leo hii ni Watanzania 4 kati ya 1,000 ndo wanamiliki gari.whats dumping fee for???
  Wabunge wa CHADEMA mnafanya nn bungeni?! Cjataja wabunge CCM coz wachumia tumbo
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ukitaka kujua Hawako makini,wakati wenzao Wanaanza kamati bajeti za wizara wenyewe wanakimbilia lindi na mtwaraaaa! Walikuwa wapi kabla ya hapo? Hive tatawaelewa kweli kweli? Hata Hao mawaziri vivuli wtazungumza nini bungeni?this is nonsense,labda wata walk out Kama desturi Yao.
  Wanaikimbia bajeti hatua za muhimu hawa mtawapa nchi kweli?
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hujui kuwa walikuwa wanasusa?
   
 4. n

  nyangasese Senior Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata wakiigomea bajeti hiyo,mwisho wa siku wabunge wa ccm wataipitisha tu
   
 5. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ng'ombe kumlisha keki badala nyasi ni ngumu, endeleeni na ccm yenu, lakini sie hatumo!
   
 6. P

  Pwito Senior Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo mswano mzabemzabe leo Jangwani uwasikilize viongozi wako Makini wakinguruma wakiongozwa na Kamanda wa anga Mbowe pamoja Mzee mkombozi wa wana na Dokta wa Ukweli W. Slaa. Pipozzzzzzzz
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu hicho Chama cha CHADAMA kimesajiliwa lini? Usije ukawa unachanganya na kile cha mtetezi wa wanyonge kinachoitwa CHADEMA?
   
 8. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  shughuli mtaiona leo tulieni na bado bungeni moto utawaka.
   
 9. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Kama Chadema hawafai tumpe nani?? Tumrudishie huyo huyo aliyezipanga hizo bajeti??
   
 10. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Kumbe wakiondoa huo ushuru watanzannia wote tutaweza kununua magari! Stupid thinking.
   
 11. h

  hans79 JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  wewe vp mbona unaleta utoto? toka lini mshindi 48 badala ya 148 pointi? tupe wasifu wa elimuyo.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CDM wapo kwa maslahi yao kama unategemea kusaidiwa na CDM utasuburi sana.
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cdm ni ya watanzania wote,kwa hiyo kama ni maslahi yao ina maana ni ya watanzania,ansante saaaaaaaaaana........
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  hujui utendalo
   
 15. h

  hans79 JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  rudia tandani lala
   
 16. M

  Magwira JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Fikra zenu ninyi Wafuasi wa Magamba zmeganda CDM kmepata ngv kwa myaka 5 lakn mabadiliko 2nayaona.Nyie mnaoyabeza mmenunuliwa sasa mtaolewa kwa uvivu wa kufikiri Sh*n*i.
   
 17. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  na kweli msamehe
   
 18. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Magamba mtabaki hivyo hivyo huku CHADEMA wakichanja mbuga..... 2015=CHADEMA!!
   
 19. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Si kila mtanzania anaweza kunua gari lakini ukiangalia Tanzania inajitahidi kuhakikisha hakuna watanzania hawamiliki magari.sioni kwann tuwe na dumping fee na ushuru wa kukomoana
   
 20. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mimi CHADEMA kwa taarifa yako lakini tuwe tayari kukosoa chama chetu na kuwapa nondo za kwenda nazo bungeni,acha ushabiki
   
Loading...