Maandamano ya kumkomboa Mtanzania yaongozwa na CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya kumkomboa Mtanzania yaongozwa na CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pwito, May 26, 2012.

 1. P

  Pwito Senior Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikia Serikali imepiga marufuku ule mkutano wetu mkuubwa pale jangwani. Nani anaweza kulielezea hili zaidi ya sisi wapenda haki na amani kuona ni uoga wa magamba kuvuliwa na kusetiriwa na gwanda. Wakuu wenzangu hii serikali inaongoza kwa kunyanyasa wapinzani, hivi kuna haki kweli katika hili? Maana matangazo wiki nzima yamelipiwa alafu dakika za mwisho Mwamunyange anatangaza huu upuuzi
   
 2. wizaga

  wizaga Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nilichokisikia toka vyombo vya habari kwa tamko la polisi wamepiga marufuku au kuzua ni maandamano ,lakini mkutano upo palepale na utalindwa na hao polisi pipooooo
   
 3. P

  Pwito Senior Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uwezo tunao, nia tunayo na nguvu tunayo lazima Fisadi aangushwe leo
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Polisi wana akili mbofu.
   
Loading...