Natangaza rasmi kugombea ubunge musoma vijijini kupita chadema 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza rasmi kugombea ubunge musoma vijijini kupita chadema 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mjuaji, May 26, 2012.

 1. m

  mjuaji Senior Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najua MAGAMBA watashituka.LAKINI UKWELI NDO HUO.KWA WALE WENYE NIA YA DHATI KAMA YANGU WASIOGOPE WAKINISHINDA KULA ZA MAONI NITAWAUNGA MKONO.NIKIWASHINDA MIE WANIUNGE MKONO.
  SHIME SHIME WATANZANIA HUU NI WAKATI WA UKOMBOZI.KUWAKOMBOA WATANZANIA WOTE.CCM TULIWAAMINI WAMETUONGOZA MIAKA 50 NA BADALA YAKE WAMEJIBADILI SURA ZAO NA KUJIITA ETI WANA MAGAMBA.OGOPA BINADAMU MWENZAKO ANAPOFIKIA HATUA YA KUJIFANANISHA NA WANYAMA KAMA KOBE,SAMAKI NA NYOKA.
  NAITWA SILASI MUKAMA.MZALIWA WA MUSOMA VIJIJINI.NINA ELIMU YA CHUO KIKUU NINAO UWEZO MKUBWA KUONGOZA.NI MWANA CHADEMA TOKA MWAKA 2000.
  NAOMBA MAOMBI YENU NA USHAURI
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,583
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  Hujatangaza rasmi bado.

  Halafu mara nyingine ujue kuandika ALL CAPITALS is a no no in netiquette, ni sawa na ku shout.
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,514
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  We are together, don't mention.
   
 4. b

  bdo JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,526
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Mkono unamuonaje?
   
 5. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Kaka kaza buti na ss tutakusupot but kikubwa usiwe mamluki na uwe na uzalendo wa kweli na hapo ndipo utatukuwa umetimiza maana halisi ya "PEOPLES POWER"

  kila kheri kamanda.
   
 6. Sunday Ngakama

  Sunday Ngakama Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa SILASI tumekusoma
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Umejipima na kujiona kwamba hutarubuniwa na kujitoa kama wenzio wa miaka ya nyuma?
   
 8. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 989
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  huna lolote wewe mchumia tumbo,musoma vijijin in watu makin zaidi ya wewe.watu wa aina yenu mmetuchosha! Mkipewa vijisenti kidogo na mkono mnajitoa!kagombee sehemu nyingine huku tutakufukuza kwa fimbo.nipo seka.
   
Loading...