Mbatia alinganisha kuteuliwa kwake kuwa Mbunge na CHADEMA-Mtwara

Nabwada

Senior Member
Apr 5, 2012
124
33
Wanajamvi jana Mbatia alikuwa akihutubia maeneo ya Soko kubwa hapa Mtwara,kuna mwananchi akamuuli kama mpinzani kwa nini ameteuliwa na Rais Kikwete kuwa M bunge ,Je kweli yeye ni mpinzani au yuko CCM?.Alijibu kuna watu wengi wameteuliwa na Rais je na wao ni CCM?,akamtaja Balegu kuwa Tume ya Katiba,Zitto kamati ya Madini,wananchi wakawa wanaongea kwa chinichini kuonesha kutokubaliana na majibu yake.Je Mbatia kuulinganisha uteuzi wake na wa Wanachadema una maana gani?
 
Mtwara hamna wacameroon?
 
Nilikuwa naongea na vijana ,wakawa wanasema wanaingoja CHADEMA kwa hamu kubwa wachukue kadi,LEMA na ZITO wasikosekane kwenye Msafara,Huyu Hassan Uled anashauriwa akagombee Udiwani ,kwani Ubunge kuna mtoto wa Mjini hapa kwa tiketi ya CHADEMA tuna mpa Jimbo 2015.
 
Kutokea lini Mbatia akajibu kwa Busara, duu ningekuwa ni mimi ningejifagilia ningewaambia wananchi kuwa. Rais kaniteua baada ya kuona wanaCCM wote ni wachafu wamejaa rushwa na ufisadi ndo maana katika uteuzi wake katuteua watu safi wakiwepo Prof. Muhongo na Mh naibu waziri wa fwedha..... tehe tehe teheeeeeeeeee
 
Mwambieni aondoke Mtwara mapema kabla wazee wa kazi hawajaanza M4C kuanzia tarehe 28; ataaibika
 
Ni bora angesema wazi kuliko kuwadanganya watu wa Mtwara.
Yaani Zitto aliteuliwa na raisi kuongoza kamati ya bunge?
 
Ama kweli wa tz tuna kazi kwelikweli huyu ndo kawekwa na rais? ,kaishiwa hoja kama shibuda hivi...
 
mbona kila mtu anaona hawezi kujenga hoja bila kuitaja cdm,alianza nape,mwigulu sasa ni huyu wa vitu maalum
 
Back
Top Bottom