Jk amepiga bao kwa uteuzi huu wa maDC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk amepiga bao kwa uteuzi huu wa maDC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BigMan, May 26, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  nimekuwa nikifuatilia semina elekezi ya wakuu wa wakuu wa mikoa,makatibu tawala wa mikoa na wakuu wa wilaya nikabaini kuwa jk ni mtu wa strategy.nimemuuliza ofisa mmoja wa tamisemi aliyeko katika semina hiyo na amenieleza kuwa kama wateule hao ni watu wa field watafanikiwa vinginevyo wakurugenzi wa halmashauri na maofisa wao wabadilike,amenieleza ni suala tu la kufuatilia miradi iliyopata fedha za serikali na utekelezaji wake kwa dhana ya value for money na wana mamlaka ya kupata wakaguzi kutoka kwa cag ama kupeleka issue ya ufisadi takukuru na upelelezi kuanza mara moja na orodha jinsi nilivyoiona na majukumu ya wakuu wa wilaya hasa hawa sabini wapya aliyewachagua na kufuatia mmoja baada ya mwingine na hutuba ya pinda kwamba walikutana zaidi ya mara kumi kupitia orodha hiyo na kuwapanga kutokana na uwezo na mahitaji ya maeneo husika,tusubiri tutaona mabadiliko hilo naamini,kwa waumini wasiokihitaji cheo hiki hawana haja ya kuchangia kwani maoni yao kupitia katiba ndiyo yatakiondoa :

  [font=&quot]kulingana na kifungu cha 14 cha sheria na.19 ya tawala za mikoa,1997,mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa serikali katika wilaya husika.[/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]*anawajibu wa kuhakikisha sheria zinafuatwa katika wilaya husika[/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]*ana wajibu wa kuziwezesha mamalaka za serikali za mitaa zilizoko katika wilaya husika kutimiza wajibu na majukumu yao[/font]

   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  the ****
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  the garbage
   
 4. B

  BigMan JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  sera yetu ni kupinga kila kitu bt maandamano ndiyo msingi wa chama chetu
   
 5. C

  Chanya Senior Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh! Diva ndo atakua ameleta hii thread, uchange id usitumie hii ambayo ushawatukana!
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  vyeo vya 'chupi' au 'kishikaji'
   
 7. B

  BigMan JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kikubwa wakafanye kazi iwe kibrotherman,kiushikaji ama kuvua chupi kikubwa ni wao kufanyakazi na kumsaidia mwananchi kuondokana na kero
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hao ni ma CD ...sio dc
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  uchafu....
   
 10. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wewe utanisababisha niende likizo kwa hizi posts zako. ulikuwa una andika huku wana-kukameruni hapo, eeh?
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama huwezi ku tolerate mawazo ya wengine bado wewe hustahili kuwa kwenye mjadala huu na hata hii JF haina umuhimu wa kuwepo.
   
 12. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hatutaki kuendelea na hicho cheo cha ma-CD ooooops sorry ma-DC

  Kama umetumwa kuwapigia debe JF habari ndiyo hiyo.
   
 13. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hatukikubali chama fulan au kiongoz fulan sio mbaya ila tusikatae kila alifanyalo hatakama linaonekana linamuelekeo wa kuleta faida.
   
Loading...