Singida Kaskazini tunahitaji mtu "smart", huyu Nyalandu ametuchosha

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Jamani jitokezeni wanasingida kaskazini mgombee ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Nyalandu hatufai,ni mwizi, mwongo,mzinzi,anayependa kujisifu na kujigamba. Ametoa ahadi nyingi sana jimboni na sidhani kama amewahi kutekeleza hata moja.

Nitamsaidia mgombea yeyote kwa tiketi ya CDM kujenga hoja sio chini ya 106 wakati wa kampeni zake ili amwondoe huyu baradhuli.

Vijana wanasema akitokea mtu wa kugombea kupitia tiketi ya CDM wataanza kupiga kampeni hata sasa, yaani wanasema wamechoshwa na huyu Nyang'au na chama chake cha Magamba.

Lissu tunakuomba utie timu ili kulianzisha hata kama sio jimbo lako maana naelewa wewe ni chachu kubwa sana.

Mie sitagombea lakini nitatoa msaada wa hali na mali.
 
Punguza jazba mkuu...

Ni kujipanga na kumwondoa huyo sharobaro..
 
Jamani jitokezeni wanasingida kaskazini mgombee ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Nyalandu hatufai,ni mwizi, mwongo,mzinzi,anayependa kujisifu na kujigamba. Ametoa ahadi nyingi sana jimboni na sidhani kama amewahi kutekeleza hata moja.
Nitamsaidia mgombea yeyote kwa tiketi ya CDM kujenga hoja sio chini ya 106 wakati wa kampeni zake ili amwondoe huyu baradhuli.

Mkuu siasa si matusi wala ugomvi.Siasa ni uwanja wa mapambano ya hoja.
Uchungu na hasira hazihalali kumtukana Mmtu,yeye ni mwanadamu ana hisia kama ulizonazo wewe.
Jipangeni,msipanic,wekeni mikakati bila shaka mtafanikiwa kumwondoa.

Vijana wanasema akitokea mtu wa kugombea kupitia tiketi ya CDM wataanza kupiga kampeni hata sasa, yaani wanasema wamechoshwa na huyu Nyang'au na chama chake cha Magamba.Lissu tunakuomba utie timu ili kulianzisha hata kama sio jimbo lako maana naelewa wewe ni chachu kubwa sana.
Mie sitagombea lakini nitatoa msaada wa hali na mali.

Mkuu siasa si matusi wala ugomvi.Siasa ni uwanja wa mapambano ya hoja.
Uchungu na hasira hazihalalishi kumtukana mtu.Unayemtukana ni mwanadamu ,ana hisia kama ulivyo wewe.
Jipangeni,msipanic na wekeni mikakati, bila shaka mtafanikiwa kumwondoa
 
Afu haka kajamaa "pendapenda" sana,jana nimepanda nako Precision ya kutoka KIA to DSM...Kameopoa na mrembo full kudandia wadada....
 
Jamani jitokezeni wanasingida kaskazini mgombee ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Nyalandu hatufai,ni mwizi, mwongo,mzinzi,anayependa kujisifu na kujigamba. Ametoa ahadi nyingi sana jimboni na sidhani kama amewahi kutekeleza hata moja.

Nitamsaidia mgombea yeyote kwa tiketi ya CDM kujenga hoja sio chini ya 106 wakati wa kampeni zake ili amwondoe huyu baradhuli.

Vijana wanasema akitokea mtu wa kugombea kupitia tiketi ya CDM wataanza kupiga kampeni hata sasa, yaani wanasema wamechoshwa na huyu Nyang'au na chama chake cha Magamba.

Lissu tunakuomba utie timu ili kulianzisha hata kama sio jimbo lako maana naelewa wewe ni chachu kubwa sana.

Mie sitagombea lakini nitatoa msaada wa hali na mali.

bahati mbaya mnae huyo kwa miaka mingine 3
 
usiogope yupo mtoto wa mzee nyembea yupo masomoni marekani na chadema wa siku nyingi.
huyu ndiye mkombozi wenu.
 
Afu haka kajamaa "pendapenda" sana,jana nimepanda nako Precision ya kutoka KIA to DSM...Kameopoa na mrembo full kudandia wadada....

Hee jamani, mkewe si ni yule mrembo wa mwaka uleeee, Faraja Kota? Hatosheki na mrembo mmoja?
 
kiama chake kimefika, nitaanza karibuni kuisambaza cdm jimbo zima na ktk uchagzi wa serikali za vijiji mwaka2014 kuhakikisha chadema inazoa viti zaidi ya nusu kama sio vyote. Nina makombora 76 ya kumwangamiza kisiasa, na kutwaa kiti cha ubunge kwa cdm . mimi ni mzaliwa wa ughandi A. Hata yeye ananifahamu,na anajua nikitia timu habakii kamwe kwani uongo wake naufahamu fika.
 
nyalandu mwenyewe daily arusha na nissan yake anakula mahewa ana bonge ya nyumba sanawari atakumbuka lini jimboni kwake?!
 
Mkuu siasa si matusi wala ugomvi.Siasa ni uwanja wa mapambano ya hoja.
Uchungu na hasira hazihalalishi kumtukana mtu.Unayemtukana ni mwanadamu ,ana hisia kama ulivyo wewe.
Jipangeni,msipanic na wekeni mikakati, bila shaka mtafanikiwa kumwondoa

Hakuna tusi hapo hayo niliyoongea ni ya kweli na ndio wadhifa wake. Tafuta watu wengine 100 wanaomfahamu uwaulize kama hawatatoa sifa hizohizo.
 
kiama chake kimefika, nitaanza karibuni kuisambaza cdm jimbo zima na ktk uchagzi wa serikali za vijiji mwaka2014 kuhakikisha chadema inazoa viti zaidi ya nusu kama sio vyote. Nina makombora 76 ya kumwangamiza kisiasa, na kutwaa kiti cha ubunge kwa cdm . mimi ni mzaliwa wa ughandi A. Hata yeye ananifahamu,na anajua nikitia timu habakii kamwe kwani uongo wake naufahamu fika.

Songa mbele mkuu
 
Amkeni mtaumia,sasa hivi mnalaumu lkn mnatuangusha kwenye kura pindi mnapopata nafasi ya kuchagua,poleni sana nafikiri mtajifunza kutokana na makosa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom