Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yangtze, May 26, 2012.

 1. Y

  Yangtze Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu. Mimi ni mwana-Iramba na imenilazimu kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba.

  Mimi namashaka sana kama Patriq yuko hapa Iramba, otherwise asingekuja na siasa hizi za majitaka. Personally, nimewasiliana na Mh. Mwigulu na ameonesha kushangazwa sana madai haya. Pamoja na kwamba ilimlazimu Nchemba kujibu madai haya hapa jamvini,(Gonga hapa na usome post #20 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/259461-mbunge-wangu-mwigulu-nchemba-njoo-jimboni-spesho-kwa-wanairamba-magharibi.html) lkn bado nimeona nisiliache hili jambo lipite hivi hivi. Mbunge alikuwepo jimboni mwezi April na kama kweli Patriq alikuwepo basi angekua anafahamu hili kwani tuhuma hizi alizitoa tarehe 30 April siku chache baada ya ziara ya mbunge.

  Mbunge alifanya ziara katika maeneo yafuatayo:- Tarehe 23/04 alikuja NgÂ’anguli na Maluga Tarehe 24/04 alikuwa kitusha na Uwanza Tarehe 25/04 alikuwa Galangala na KBI ambapo alizunguka sokoni akiongea na vijana pamoja na watu wa rika mbalimbali kuhusu njia bora ambayo wangependa kuwezeshwa katika ujasiriamali wao.

  Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT bado ameendelea kuwa pamoja na wanachi wake na imani yake kwa wana-Iramba bado iko juu.

  Sisi wana Iramba kama kweli tunataka maendeleo kwa ajili yetu na vizazi vijavyo basi tuna kila sababu ya kushirikana kwa umoja wetu kuleta maendeleo yetu. Ni wazi tunaweza tukawa na different political Ideologies lakini tusiziruhusu zikatugawa bali tuzitumie kama chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo jimboni kwetu.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI IRAMBA MAGHARIBI

  Mkereketwa wa Maendelo ya Iramba
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Utapata busara za wadau, pole kwa yote.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Kwa utumbo kama huu tutegemee maendeleo kivipi?
   
 4. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Yangtze, kwanza nianze kwa kukusifu kwa hatua hii. Ni kweli kabisa ukiangalia madai ya Yule bwana yana ajenda ya siri nyuma yake. Aidha anataka kujiwekea mazingira ya kugombea ama anamrayarishia mtu mwingine. Ila isiwe kwa kutafuta sababu za kuzusha kama alivyofanya. Pamoja na kwamba mimi sii pro CCM ila kwa Nchemba wana Iramba wamepata Jembe. Namshauri ndugu Nchemba atafakari upya uwepo wake CCM na kuhamia CDM kwasababu matatizo ya CCM ni mengi kwa sasa.
   
 5. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I am not in your Boat Kiranga! The guy has a point!
   
 6. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ujinga mwingine bana!

  Hovyo kabisa!
   
 7. Mazengo

  Mazengo Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Aisee siku hizi Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana. Hata kama mtu akifufua mtu mwingine tutaponda tu ikiwa mtu huyo anatoka CCM. Mwigulu simjui lakini to be sincere, anafanya kazi ipasavyo. He is the likes of Zitto, Mnyika, Tundu Lissu etc
   
 8. Y

  Yangtze Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hovyo kwako lakini kwetu siye wana Iramba inamaana kubwa sana. Maendele yetu yataletwa na sisi wenyewe wana Iramba. We will not seat back and wait for aliens like patiq to disrupt the foundations of development plans that are now being put in place by our MP.
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Which boat? Which guy? Which point?

  I don't see even a plane, let alone a point.

  Hii ni JF, sio kilabu cha bongolala kinachoruhusu watu kupigiana propaganda bila hata kushughulisha ubongo.
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kusisitiza umoja wa wanairamba ni jambo la muhimu, linalonishangaza wewe Mwigulu Lameck Madilu Nchemba kwanini umekwepa kutumia jina lako badala yake umetumia hili la YANGTZE. Hii ni dalili ya kutojiamini na ni old fashioned strategies za propaganda ambazo walisoma akina Lyatonga enzi hizo. Kutokana na dhana ya modus operandi nina uhakika 100% hii kitun umeandika wewe mwenyewe Mwigulu because i know you and your art of writing. Ukiwa kiongozi you have to be bold na kukabili changamoto kwa ujasiri usitafute huruma. Shauri yako 2015 si mbali usijekujuta kuacha kazi BOT
   
 11. Y

  Yangtze Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is an insult for Irambians!
   
 12. F

  FOEL Senior Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yangtze
  Join Date : 26th May 2012
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received: 1
  Likes Given: 2

  Check hiyo Deep Green, naona jamaa ameamua kuja kivingine, hahaha...ndiyo viongozi wetu hawa..haha..Naona watu mmeshashtuka zamani, safi sana.
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  An insult for Irambians? Kwa nini usiandike Kiswahili tu ? Halafu mbona kuchapia chapia kwako kiingereza kunafanana sana na kule kuchapia kwa Mwigulu Nchemba? Unajipigia debe mwenyewe kwa pseudoname hapa?

  Trust me, you do not want this Kiranga guy to get on your case.
   
 14. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  Mwigulu yupi.? Aliefumaniwa igunga au sio yeye.!
   
 15. Y

  Yangtze Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du kweli nimeamini sio wote walio gerezani wanamakosa. Yaani unasema una hakika asilimia 100 mi ndo Nchemba. Basi hio ni heri. Mimi ni mwana Iramba. Nchemba mwenyewe sio kwamba hajajitokeza. Soma post No 20 hapa:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/259461-mbunge-wangu-mwigulu-nchemba-njoo-jimboni-spesho-kwa-wanairamba-magharibi.html
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  "Irambians" ndo watu gani hao? Kaazi kweli kweli.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  YANI ni bora kukaa kimya kuliko kuleta hoja viroja ukidhani ndio namna ya kusaidia jimbo lako

  Kila siku zinavyoenda ndio nagundua Mwigulu hana tofauti kabisa na Lusinde
   
 18. Y

  Yangtze Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Soma post No 20 hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/259461-mbunge-wangu-mwigulu-nchemba-njoo-jimboni-spesho-kwa-wanairamba-magharibi.html
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Ushuzi mtupu
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
Loading...