Matembezi ya amani yafanyika Zanzibar Dhidi ya Muungano

mzaire

Senior Member
Apr 10, 2012
199
41
matembezi_uamsho.png
Maelfu ya wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya matembezi ya amani katika barabara za Zanzibar na kupeleka ujumbe wao kwa viongozi wa serikali za Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Umoja wa Mataifa wakitaka Zanzibar huru ambapo baadhi ya watembeaji hao wakiongoza na Kiongozi wa Jumuiya hizo, Sheikh Farid Hadi Ahmed na viongozi wengine
 

Attachments

  • matembezi.png
    matembezi.png
    215.8 KB · Views: 48
Back
Top Bottom