Zitto, Msigwa, Nyerere et al Kukamua USA kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto, Msigwa, Nyerere et al Kukamua USA kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, May 26, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wabunge machachari Zitto, Msigwa, L. Nyerere na wengine watakuwa maryland USA kesho kuzindua M4C kwa Watz waishio USA. watauza kazi za chama na kuzungumzia maswala ya katiba mpya, uchumi nk. Peoplessssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr. Tuwe wakweli, chadema sasa haikamatiki. Hata strategy zao babu kubwaaaaaaaaaaaa
   
Loading...