Maandamano ya kumpokea Nundu yapigwa stop! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya kumpokea Nundu yapigwa stop!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, May 19, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Maandamano yaliyokuwa yameandaliwa kwa ajili ya kumpokea mbunge wa Tanga Mh Omari Nundu yamesitishwa kutokana na sababu za kiusalama.

  Chanzo: Tanga television.
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Maandamano hayo yalikuwa yamepangwa kufanyika kesho.
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Intelijensia @work.
  Hata hivyo hayo maandamano yalikuwa ya kumpongeza kwa kufukuzwa uwaziri?
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Usalama? Vipi kule kwa Ngeleja nako kuna usalama au vipi?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Huu ujinga unaotaka kuota mizizi kwenye nchi hii usipokemewa, adui umaskini na maradhi itakuwa ngumu sana kupigana nao, maana nilishangawa kuona mashabiki wa Simba walipokwenda uwanja wa ndege na matarumbeta kuipokea timu yao eti imetolewa kiume kule Sudan!! huu ni zaidi ya ujinga.
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  ..mara ya kwanza kusikia maandamano ya wana CCM yamezuia!!
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa Nundu, ningekaa kimya na kufanya harakati za chini kwa chini.

  Nundu huiwezi DOLA.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  namshukuru mungu kwa kuniweka hai mpaka sasa ili na mimi niyashuhudie haya.
   
 9. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Huyu muheshimiwa wiki iliyopita nilimuona nje ya nchi alikokuwa akifanya kazi amesharudi mara hii?
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inawezekana CUF ndio waliokuwepo, Unakumbuka ziara ya rais Tanga airport badala ya CCM kumpokea wanachama wa CUF ndio waliompokea, sasa inawezekana CUF wangetawala hayo Maandamano.

  Na CCM wasipoangalia hilo JIMBO litakwenda kwa CUF.
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Watu wanaoipenda ccm huwa ni vichaa! Mtu mwizi mnapokea wa nini? Ili kuipenda ccm unatakiwa uwe na akili za wendawazimu!
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Vipi Tanga kwetu kunani tena jamani? yaani kweli hawana ubomgo wa kuwaza kiasi hicho? nipo hapa Tanga Majestic subiri ntapitia kwa Mheshimiwa nimjulie hali
   
 13. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2,197
  Trophy Points: 280
  kuppongeza kwa kuibaaaa!!!!!
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mtoi nimeiona picha yako hapa nikafurahi sana, nimefurahi sana kuona hujabadilika sana tangu enzioi za shambalai school na ushirika Moshi, mzima lakini huyu Nundu nae anataka nini?
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  anataka cheap popularity
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  na tatizo wapo wabongo ambao wakiambiwa 'serikali imesema' wanakuwa kama mbwa mbele ya chatu...
   
 17. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hapa ndio huwa naona umuhimu wa al shabab na al quida !
   
 18. o

  oakwilini Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache mazuzu wampokee zuzu mwenzao.watanzania watawashangaa sana hao jamaa ila naamini wenye akili watatulia majumbani kwao.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nimejiuliza hivohivo,,,,,ila sitak kuamin kama MKULO ataandaliwa hayo mapokezi,,,maana wapiga kura wake wamemchoka kama mvua za masika
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nundu ni nani nchi hii?mapokezi ya kushindwa majukumu yako?hivi wewe mzee una akili kweli wewe au ?
   
Loading...