Zanzibar hapajatulia, Maduka yafungwa mchana huu

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Niko Zanzibar hali si shwari nimeamua kuachana na mikutano yangu na kurudi bara. Kila kona mabomu, pia maduka yamefungwa na vyakula naona ni ghali ghafla.

Muda huu naandika niko kwenye boti hakuna abiria na maduka yanafungwa .Ukaguzi ama upekuzi ni mkali hapa bandarini na boti hazina abiria si kutoka Dar kuja Unguja wala Unguja Dar.

Kila mtu analaani na matamshi yanaelekezwa kwa KAFU huku mitaani lakini kwenye sirikali wameamua ku deal na hawa wahuni kinamna.

Mahakama imewapa dhamana ila naambiwa wengi wameshindwa masharti na sasa kila kona mtaani kuna askari na njia zimezibwa na askari ni wa kumwaga.

Nimeona wanajeshi wa JWTZ mtaani na hata magareza wakiwa na silaha kwenye maeneo mengi ya makutano ya barabara nk.

Haya niko chomboni nakula maji sasa kuja bara .
 
Nashukuru kusikia kwamba vyombo vya usalama viko kazini kuthibiti hao vichaa
 
hivi kwa nini tunawabebeleza hawa???.....hivi wao na sisi nani atapata hasara kama wakijitenga?
 
Nashukuru kusikia kwamba vyombo vya usalama viko kazini kuthibiti hao vichaa

Katika watu ninaowashangaa kuna Wapemba (wote tu hata wale wa Unguja ni Wapemba tu) ... wao wanakaa kwenye nyumba ya vioo halafu wanaanza kurusha mawe! Hata wakijivika mabomu tutawashughulikia tu ... ni kipondo kwa kwenda mbele.
 
These guys they love muungano hakika nimewasikia wanasema hadharani kwamba asiyependa Muungano wako wachache waomdoke kisiwani so si kweli kwamba hawapendi Muungano kwa uwingi wao na wanao ukataa wanatajwa kwamba ni ma KAFU wenye asili ya Uarabu
 
Niko Zanzibar hali si shwari nimeamua kuachana na mikutano yangu na kurudi bara. Kila kona mabomu, pia maduka yamefungwa na vyakula naona ni ghali ghafla.

Muda huu naandika niko kwenye boti hakuna abiria na maduka yanafungwa .Ukaguzi ama upekuzi ni mkali hapa bandarini na boti hazina abiria si kutoka Dar kuja Unguja wala Unguja Dar.

Kila mtu analaani na matamshi yanaelekezwa kwa KAFU huku mitaani lakini kwenye sirikali wameamua ku deal na hawa wahuni kinamna.

Mahakama imewapa dhamana ila naambiwa wengi wameshindwa masharti na sasa kila kona mtaani kuna askari na njia zimezibwa na askari ni wa kumwaga.

Nimeona wanajeshi wa JWTZ mtaani na hata magareza wakiwa na silaha kwenye maeneo mengi ya makutano ya barabara nk.

Haya niko chomboni nakula maji sasa kuja bara .

Red: limesikika hili na kwamba serikali ya pamoja indhihirika ni kiini macho na imeshindikana - wapemba on the lead. Wenye undani tafadhali tujuzeni tusiumize vichwa vya uislamu na ukristo mara muungano kumbe cowards wako kazini
 
Waandishi wengi kwenye mada hii hawana hisia kabisa ya jambo linaloendelea Zanzibar. Inasikitisha kuona watu wazima wanaandika kama watoto wa nasari skool. Hebu tupeni hoja. Jambo lolote lina sababu. Hawa vijana hawakuamka asubuhi wakaamu kufanya walivofanya. Kuna pande mbili husika nani alifanya nini ikasababisha hayo yaliotokea. Badala kuwalaumu wazanzibari in GENERAL, kwanini haingaliwi usawa wa jambo. Kama tuliungana nchi mbili, heshima iwepo na kama ni koloni la tanganyika, pia ukweli uelezwe mchana sio kujificha jificha. Wazanzibari wanadai haki yao ya kujitawala kwenye Taifa lao. Kuna makosa mtu kudai chake?.
 
These guys they love muungano hakika nimewasikia wanasema hadharani kwamba asiyependa Muungano wako wachache waomdoke kisiwani so si kweli kwamba hawapendi Muungano kwa uwingi wao na wanao ukataa wanatajwa kwamba ni ma KAFU wenye asili ya Uarabu

Kura ya maoni baba kura ya maoni!!!
wapewe nafasi watoe maoni ndo tujue ni wachache au ni kwa wingi wao!?
 
Ha ha ha ha ha ha! Mnakimbilia wapi? Nyie endeleeni kuchoma makanisa huko sisi tukichoka tukianzisha msilalamike!
 
HAO jamaa, tunawaheshimu kutowatawala kimabavu tu..watoto wadogo sana hao wanao leta fujo..Ukonga PLSS pandeni Boti...tuone kama hawajaomba amani..
 
Hatuwezi kuheshimiana kama hatuja pigana vita labda ndo wanachokitaka.Mungu epushilia mbali haya maneno
 
Waandishi wengi kwenye mada hii hawana hisia kabisa ya jambo linaloendelea Zanzibar. Inasikitisha kuona watu wazima wanaandika kama watoto wa nasari skool. Hebu tupeni hoja. Jambo lolote lina sababu. Hawa vijana hawakuamka asubuhi wakaamu kufanya walivofanya. Kuna pande mbili husika nani alifanya nini ikasababisha hayo yaliotokea. Badala kuwalaumu wazanzibari in GENERAL, kwanini haingaliwi usawa wa jambo. Kama tuliungana nchi mbili, heshima iwepo na kama ni koloni la tanganyika, pia ukweli uelezwe mchana sio kujificha jificha. Wazanzibari wanadai haki yao ya kujitawala kwenye Taifa lao. Kuna makosa mtu kudai chake?.

Kuna njia nyingine ya kudai 'taifa lao' bila kuchoma kanisa?
 
Kuna mambo nyuma ya pazia kuhusu muungano na ni siri ya siku nyingi na kwa sasa wapinzani wa zenji washajua ukweli na magamba walikuwa wanawaficha. Kauli ya magamba ya kulinda muungano kwa garama zozote, na huku tundu lissu akiwapa ukweli na wakienda misikitini na vijiweni wanasemezana lugha moja. Hili swala wakulaumiwa ni magamba na uongozi wao wallipuuzia na kutoa kauli za vitisho. Hao hawashindwi kukodi boko haram na kuanza kulipua dar wakiona hawasikilizwi. Subirini hii filamu ya magamba na uamsho wa zenji.
 
Niko Zanzibar hali si shwari nimeamua kuachana na mikutano yangu na kurudi bara. Kila kona mabomu, pia maduka yamefungwa na vyakula naona ni ghali ghafla.

Muda huu naandika niko kwenye boti hakuna abiria na maduka yanafungwa .Ukaguzi ama upekuzi ni mkali hapa bandarini na boti hazina abiria si kutoka Dar kuja Unguja wala Unguja Dar.

Kila mtu analaani na matamshi yanaelekezwa kwa KAFU huku mitaani lakini kwenye sirikali wameamua ku deal na hawa wahuni kinamna.

Mahakama imewapa dhamana ila naambiwa wengi wameshindwa masharti na sasa kila kona mtaani kuna askari na njia zimezibwa na askari ni wa kumwaga.

Nimeona wanajeshi wa JWTZ mtaani na hata magareza wakiwa na silaha kwenye maeneo mengi ya makutano ya barabara nk.

Haya niko chomboni nakula maji sasa kuja bara .

Mkuu,

Sasa wewe unameza maji kama ulivyosema hapo juu, isije kuwa ni haya maadishi ni baada ya kuwa umepata maji saafi yenye baraka zake.
 
These guys they love muungano hakika nimewasikia wanasema hadharani kwamba asiyependa Muungano wako wachache waomdoke kisiwani so si kweli kwamba hawapendi Muungano kwa uwingi wao na wanao ukataa wanatajwa kwamba ni ma KAFU wenye asili ya Uarabu

Si kweli, hivi hujapata kusikia matamshi ya mawaziri wa SMZ wakipinga muungano hadharani? juzi juzi tu wamepeleka kwenye baraza la wawakilishi mswaada wa kutaka wa bara wasiruhusiwe kufanya kazi Zanzibar, na umekwama kwa kura moja. Jiulize ni vipi serikali ikubali muswaada wa namna hiyo kwenda baraza la wawakilishi?

Na si kweli kuwa ni KAFU, matamshi wanatoa mawaziri tena wa CCM, hili swala tusiliache lifike mbali.

Ukitazama walivyokuwa wengi kwenye maandamano itakuwa ni upuuzi kuwadharau, hali ni mbaya na wala kutumia majeshi haisaidii, usijekuta hata ndani ya vyombo vya ulinzi askari kutoka Zanzibar wakawa wanawaunga mkono hawa. Jamaa walikuwa wengi mno.
 
[COLORTaarifa niliyoipta sasa hivi,HALI YA ZANZIBAR INATISHA SANA,MABOMU KILA MAHALI NA MADUKA MENGI YAMEFUNGWA,kWA MZUSHI KUMEVAMIA BIA ZIMEIBIWA NA VIFAA VINGINE NA NYINGI ZIMENYWEKA UAMSHO WAKO JUU,KWA MBAWALA MPAKA VITANDA NA MAGODOLO VIMEIBIWA NA HALI INATISHA SANA.NDUGU WA BARA NAWASIHI SANA MUONDOKE KWA USALAMA WENU.BIA ZILIZOIBWA ZINAUZWA MITAANI 500.Ninyi mnaotaka wa bara waondoke mkimaliza tu;Mtaanza na wa Pemba nao waondoke hamtakaa salama kwamwe(JK ORIGINAL)FF0000"][/COLOR]
 
Back
Top Bottom