Yusuf Makamba azindua vitabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yusuf Makamba azindua vitabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIQO, May 28, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Yusuf Makamba ametunga vitabu wiwili:- Binadamu na Kazi na Ukweli kwa mujibu wa Biblia na Kurani Tukufu suna za Mtume na Sheria za nchi. Vilizinduliwa na makamu wa rais Dr. Bilal.
   
 2. d

  davidie JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aonyeshe fitna zake kwa kuwashawishi wenzake kufungua kesi mahakamani zisizo na tija kwa taifa, pia aonyeshe jinsi alivyomuharibia masomo yule binti enzi zileeeee! Akiwa mwalimu kule kijijini.
   
 3. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  alafu anasifiwa kwa uongozi uliotukuka.

  Moderator unganisha hii thread na nyingine iliyopo tayari

   
 4. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tunajua
   
 5. s

  suranne Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Inanisikitisha sana kuona kila kitabu kinachoandikwa na kiongozi au mtu mwenye ushawishi serikalini kinatumika ktk shule zetu sijui hii elimu tunaipeleka wapi?
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Ila kajitahidi kwani sijawahi kumsikia mpaka jana katika uzinduzi wake wa vitabu. Je, ukimya wote huo ulikuwa ni kuandika vitabu? Kwenye Quaran na Biblia napatilia shaka!!
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  haya bana! bado profesa maji marefu kutunga chake kitabu.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi vitabu vinatarajiwa kutumia kufundishia watoto wetu - primary school. Kuna mambo mawili ya msingi ya kujibu:

  1. Tanzania is a secular coungtry. Serikali haina dini lakini watu wake wana dini, na watanzania wana dini tofauti zaidi ya ukristo na uislam. Sasa, kwa nini vitabu vya kufundishia watoto viwe na basis ya dini? Kitabu kinasema "Ukweli kwa mujibu wa Biblia na Kurani Tukufu". Maana yake tunaingiza dini kwenye cariculum? Nini madhara yake? Na kwa watoto ambao sio wafuasi wa dini ya ki-kristo au u-islam wanawekwa wapi?

  Nchi haingozwi kwa mujibu wa biblia au Kuran, ila sheria za nchi. Sasa kwa nini elimu itolewe kwa mujibu wa vitabu vya dini, tena dini mbili tu? Hapa kuna tatizo kubwa sana sana.

  2. Kiwango cha elimu kimeshuka sana. Tanzania sio kisiwa ni kijiji katika dunia ya utandawazi. Kama hatukuwa makini na aina ya elimu tunayotoa kwa watoto wetu tutaangamiza hii nchi. Nina mashaka sana na aina ya vitabu vinavyotumika kufundishia kama kweli vinaweza kumjenga mtoto wa kitanzania awe na uwezo katika dunia ya leo. Mzee Makamba ana 'intellect' gani kiasi kwamba serikali inaona vitabu vyake vinafaa kuwaandaa watoto wetu kwa dunia ya sasa ya science ya technology? Where are we taking this nation?
   
 9. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  All in all. Hongera mgosi. Je mnaomdadavua mgosi baba zenu au ninyi wenyewe mmeshatunga vitabu?
   
 10. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Ni chenji ya RADA inasumbua watu,mwingine atunge cha Rushwa kwa mujibu wa Kihindu na Kibudha na chenyewe tuweke kwenye sylabus arambe chenji ya Rada.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mwambie asome yeye na wanae January bila kumsahau Mwamvita
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Kwanini Biblia umeondoa takatifu?Hizi ndizo shida ninazomhurumia mzee Makamba kukutana nazo ktk hii religious minefields
   
 13. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Go to hell Yusuf you are but a virus in our country.
   
 14. M

  MTK JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Karne hii tutaona na kusoma vitabu vingi, hivi kweli hata Makamba kunalo la kujifunza kutoka kwake! haya bana. hebu tuone
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi siku hizi ukiwa kiongozi wa CCM ukatunga kitabu tayari kinaingizwa kwenye mitaala ya shule? Ile kamisheni ya ku-review mitaala ya shule ilikaa lini na wapi kupitisha hivi vitabu kuanza kutumika mashuleni.

  Tena mbaya zaidi vitabu vyenyewe msingi wake mkubwa ni Biblia na Quran? Tangu lini nchi hii ikawa ya Wakiristu na Waislamu tu? Hivi waziri wa Elimu ni nani?

  UAMUSHO mpo? Mzee Makamba anawaletea vitabu vya kuwafundisha watoto wenu Ukiristu!
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Alikuwa kimyaa kipindi kirefu kumbe alikuwa anachimba mahekima
   
 17. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  2015 CDM wakichukua nchi tutachana vitabu vya wakubwa uchwara waliovamia syllabi zetu
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Binafsi, sina tatizo la Mzee wetu kutunga vitabu. Ni jambo zuri sana. Shida yangu ni vitabu hivi vyenye msingi wa dini kuingizwa kwenye mitaala ya elimu ya watoto wetu. Sikubaliani kabisa kuingiza dini kwenye elimu. Tumeshaanza kuona madhara ya kuingiza dini kwenye siasa, sasa tunaenda kwenye elimu? Hapana!
   
Loading...