Wosia wa baba wa taifa juu ya muungano, hasa suala la kujitenga.

anin-gift

Senior Member
Feb 17, 2012
168
73
[h=6]''WATU WANAZUNGUMZA UZANZIBARI!!!!''

''WATU WANAJIVUNIA UZANZIBARI!!!''

' Tunataka KIONGOZI na VIONGOZI WATAKAOELEWA HIVI, ''KUZUNGUMZA UZANZIBARI SI JAMBO LA FAHARI HATA KIDOGO, HATMA YAKE UTAVUNJA NCHI''

''MZANZIBARI MWENYE AKILI HAWEZI KUUTUKUZA UZANZIBARI, KWA KUJIITA SISI WAZANZIBARI NA WAO WATANGANYIKA, ''SISI WANZANZIBARI NA WAO WATANGANYIKA'' Na AKADHANI HII INA USALAMA NDANI YAKE, HATMA YAKE ZANZIBAR ITAJITENGA, ''ZANZIBAR IKIJENGA KWA SABABU YA ULEVI TU, ''ULEVI WA MADARAKA'' ''SISI WAZANZIBAR NA WAO WATANGANYIKA'' SISI SI WAMOJA, IKITOKEA HIVYO.. ''WAKUMBUKE KWAMBA MUUNGANO NDIO UNAOWAFANYA WAJIITE SISI WAZANZIBAR NA WAO WATANGANYIKA, NJE YA MUUNGANO HAWAWEZI KUSEMA HIVYO, NJE YA MUUNGANO HAKUNA WAZANZIBARI, KUNA WAAOO WAPEMBA NA SISI WAUNGUJA, DHAMBI HIYO HAITAWAACHA.....:israel:[/h]By Mwl. J.K NYERERE
 

Attachments

  • 562396_360400280687855_100001536582997_987538_326091796_n.jpg
    562396_360400280687855_100001536582997_987538_326091796_n.jpg
    13.9 KB · Views: 44

Similar Discussions

Back
Top Bottom