Vitu Vinapanda Bei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitu Vinapanda Bei

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpangamji, May 28, 2012.

 1. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu salam,
  napendekeza re-mix ya hii nyimbo kwa style ya kuweka beti ambazo zitaiwezesha nyimbo hii kutumika kwenye uhamasishaji wa kuwaelimisha watanzania nani anasababisha vitu kupanda bei, na hivyo kuhamasisha mapinduzi ya kifikra kwa wote watakaokuwa wakisikiliza Remix hiyo. Tawi letu tunalopendekeza la chadema online tunaweza kuchangia pesa kwa ajili ya kurekodi remix ya nyimbo hii itakayokuwa na ujumbe wa kuelimisha jamii moja kwa moja.
  Nawakilisha.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Siku kilo ya sukari itakapofikia 10,000 ndo watanzania wataamka!
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Tufanye kazi kwa bidii tuongeze uzalishaji na tija maana simply the higher the supply the lower the price! pia ikidhibitiwa mianya ya rushwa na wizi ufisadi na ukwepaji kulipa kodi kwa vyovyote bei zitashuka!!
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Pole sana!
   
 5. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Osokoni, tatizo la Tanzania si la uzalishaji ni la kimfumo, mara ngapi tulimsikia waziri Mkuu akipiga mkwara kuwa walioficha tani za sukari kwa lengo la kutengeneza demand waiachie, nini kilifanyika, kule Kilombero kuna ekari ngapi za mashamba ya miwa ambayo hayajavunwa, madini ni kiasi gani tunalipwa, utalii nani anashughulika na hizo pesa, kodi-wageni wangapi wenye maduka kariakoo wenye gerage ambao hawatoi lisiti baada ya malipo, lini tutakusanya kodi. Uzalishaji pekee si suluhisho
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Osokoni,
  The issue here is not about the production cost, nor the supply.
  The issue here is about inflation rates in which the current regime have failed to handle it!
  Usitulazimishe zile enzi za viboko eti Gross Profit = Sales - Cost of Sales
  au Net Profit = Gross profit + Income - Operating Expenses. Hapo utakuwa umeliwa mkuu wake up bana!
   
Loading...