Mioyo yetu ni CHADEMA!

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Hata sisi wana ccm kwa jinsi tunavyoona nchi yetu inavyokwenda tuko ccm kimtazamo tu lakini mioyo yetu tuko Chadema kwani wanataka kutukomboa kutoka kwa hawa wakoloni weusi. Wa Tanzania tumefika mahala tunatamani wakoloni kuliko ccm? Nina miaka zaidi ya 70 lakini hapana. Nasubiri hapa kwa ham kubwa niangalie mabadiliko ya nchi yangu. Wote tuangalie tv saa 10.
J . Hamis mtwara.
 
Kaka, seventy years bado uko ccm? CHADEMA isiyo moyoni tu, utashindwa kuitangaza na kuongeza uwanja wa kuelimisha jirani zako....VAA GWANDA KABISA NJE, ili watu wa jirani yako wakufuate.....AMUA SASA, wakati uliokubalika ni SASA!!!!
 
Tayari nimeondoka ccm nimechoma kadi ya ccm baada ya kuangalia itv leo
 
Nikiweka hii thread jinsi magamba walivyo tuchezea akili Leo mods
Forbidden

You don't have permission to access /jukwaa-la-siasa/269190-kutoka-jangwani-mkutano-wa-chadema-vua-gamba-vaa-gwanda-17.html on this server.

Additionally, a 403 Forbidden error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request.
 
poleni jamani ila jangwani leo palinoga,Bananga kifaa anachana kama Sugu mbona raha tupu CHADEMA ,nikuwekea video japo kidogo uangalie.
 
CDM should be magicians! Can you imagine people (me also) stood still wetting not even a single leg moved no matter how heavy it rained!
 
big up kwa wote mliotuwakilisha hapo jangwani natamani ningekuwepo,
 
toka nilipopata akili ya kujua mema na mabaya sikuwahi kuipenda ccm..... kwa wenye akili watakuwa wamenielewa
 
Back
Top Bottom