Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naiunga mkono CCM na serikali zake kushindwa kuongoza nchi na kuvunja Muungano. Nawaunga mkono kwa kushindwa kuwasikiliza Wazanzibar hadi nyumba zetu za ibada zinachomwa. CCM inatisha...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Monday, 28 May 2012 20:35 0digg Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Ezekiel Maige a Shija Felician, Kahama BAADA ya kimya cha muda mrefu tangu ang'olewe katika nafasi ya Waziri wa Maliasili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wanahistoria nadhani mnakumbuka vizuri kwamba CCM imetokana na muungano wa vyama viwili yaani ASP ya Zanzibar na TANU ya Tanganyika.Kwa msingi huo Zanzibar ikijitenga na Bara(Tanganyika)...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya matukio ya aibu kutokea zanzibar, najiuliza bado kuna haja zama hizi ya kuwa na huu muungano? personally sioni sababu ya kuendelea na huu muungano, wakati Mwl na Karume wanaanzisha huu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Makamanda ndio wanatia timu kiwanjani..! Kimsingi naweza kusema ni mapokezi ya kihistoria. Mtaendelea kupokea Updates.. Picture Updates:
42 Reactions
259 Replies
20K Views
CCM sasa hivi wako between a rock and hard place sasa sijajua ipi itakuwa rahisi kwao ku swallow kati ya options hizo mbili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa CHADEMA usisahau kupeleka mkutano wa M4C Zanzibar haraka iwezekanavyo, tena tunaomba sana Mheshimiwa Tundu Lissu apewe muda mrefu wa kuongea atapokuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hoja mnayo lakini inakuwaje hoja ya kisiasa(muungano) inakuwa spearheaded na kikundi cha "dini", kweli hapo hakuna hidden agenda? Mmesambaza vikaratasi kuwataka watanganyika waondoke Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Kisiwa hatarini kutoweka Zanzibar-Habari Leo KISIWA Panza kilichopo Mkanyageni mkoani Pemba chenye wakazi 600 kiko hatarini kutoweka kutokana na kumezwa na bahari. Hali hiyo inatokana na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau, Katika kuendeleza mashirikiano mema baina ya tanganyika na nchi nyingine, rais wetu sikivu Dr. J.M.K ametamka haya. Rais Jakaya Kikwete, amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumeona kiti cha ZANZIBAR umoja wa mataifa, sasa mwenye picha ya kiti cha tanganyika aweke.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wa JF especially wana JI. Namshukuru mwenyezi mungu kwa kuniamsha siku ya leo na kuniwezesha kufika kazini salama na kuanza majukumu yangu ya kujenga Taifa kama ipasavyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imekaririwa katika vyombo vya habari kuwa Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na mashirika ya umma Bw. Ludovick Uttoh kuipongeza serikali pamoja na Spika Anna Makinda kwa kutekeleza maazimio ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk Nchimbi Atua Zenj, Akemea Vitendo vya Vurugu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi Na Juma Mohammed,MAELEZO Zanzibar Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
I think its okay to stone at President's convoy sometimes, or burn down MP's car after we feel like they haven't done what they promised for the past of seven years(Oppressed), Or Burn down...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Vijana wakiandamana mjini Zanzibar katika Barabara ya Amani wakipinga Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar, jana. Picha na Edwin Mjwahuzi VURUGU ZASHIKA KASI, DK NCHIMBI, IGP MWEMA WATOA MAAGIZO...
1 Reactions
0 Replies
990 Views
Mbona wiki hii hakuna think piece ya Jenerali Ulimwengu? wwiki3 zilizopita alikuwa anamwaga sumu kwenye gazeti la East African mpaka bas mwenye article ya wiki hii atuweke tumsome huyu mwenye...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
HABARI LEO RAIS mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, amesema matatizo ya nishati katika mataifa ya Afrika hayawezi kumalizika kwa kulia, bali kuwa na mikakati maalumu inayotekelezeka...
20 Reactions
105 Replies
9K Views
na Mwandishi wetu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dk. Mohamad Reza Rahimi, atawasili jijini Dar es Salaam kesho tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi hapa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
JK akiri serikali haiaminiki • Afichua kisa cha kuachwa Ma-DC na Mwandishi wetu Tanzania Daima RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa Watanzania wengi wamekosa imani na serikali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…