M4C Zanzibar

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa CHADEMA usisahau kupeleka mkutano wa M4C Zanzibar haraka iwezekanavyo, tena tunaomba sana Mheshimiwa Tundu Lissu apewe muda mrefu wa kuongea atapokuwa huko. Inaonesha kuwa CHADEMA imewaamsha Wazanzibari kutokea Jangwani ni vyema wakafika huko "LIVE".
 
Hii mada kila mmoja kaiogopa au ndio iko kapuni?
 
ha ha ha h a...kaka hakika nakuhakikishia CDM inakwenda kuiteka Zenji..tunatarajia hizi vuguvugu za mabadiliko zitakwenda mpaka huko..ila wazanzibar wamechoka na CCM na CUF yao, kwanza wanaona wao ndio wanakumbatia muungano, na habari za CDM wanazo jinsi wanavyotaka muungano uwe, na wao wanataka ivo ivo, soon CDM inakwenda kuwashika.. Uchaguzi wa mwishoni BUBU, cdm walishika nafasi ya 2 , ccm B ya 3..hizo ni salamu tosha
 
Nadhani hamuijui zanzibar munaisikia kwenye magarzeti tu, muulizeni mbatia aliposhiriki uchaguzi Pemba.

Zanzibar ya sasa haihitaji hata neno muungano, kiongozi au chama chenye ujasiri wa kutamka hadharani kua kitauvunja muungano basi hicho kitaweza kuungwa mkono ila sio kueleza faida au hasara za muungano au serekali tatu, alioyaeleza tundu lisu zanzibar walishayaelewa miaka arubaini iliopita.

Watu hawahitaji elimu ya muungano au hasara wanahitaji namna gani watauvunja muungano.
 
Yanayotokea Zenj ni matunda ya upando wa M4C? maana baada ya hotuba ya Jangwani tu haijapita hata masaa 24 mambo ndio hayo. Ni wakati muafaka wa nyinyi kwenda huko kuendeleza M4C.
 
kweli system at work..yaani linalokuja mdomoni tu unalitema ..mkutano wa jangwani na kuchomwa makanisa unajaribu kuunganishaje dot?...ile mihadhara yote ya uamsho hukuiona ?? nenda youtube kuna clip zote na zile za mfumo kristo
 
Asiunganishe mambo ya M4C jangwani na Uamsho, huo ulishakuwepo kabla ya mkutano wa Jangwani. Asichanganye umma huyu
 
Wazenji wamejizira hawataki mabadiliko waacheni wapondwe virungu wakimbilie Mombasa
 
kweli system at work..yaani linalokuja mdomoni tu unalitema ..mkutano wa jangwani na kuchomwa makanisa unajaribu kuunganishaje dot?...ile mihadhara yote ya uamsho hukuiona ?? nenda youtube kuna clip zote na zile za mfumo kristo

Kabla ya kuchomwa kanisa kulikuwa na nini?

Ngoja nikatazame hizo clips, kumbe mambo ni "mfumo kristo"? au ndio usimuamshe aliyelala utalala wewe?
 
Back
Top Bottom