Hivi kuna sababu ya kuendelea kuwa na muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna sababu ya kuendelea kuwa na muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Simchezo, May 28, 2012.

 1. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Baada ya matukio ya aibu kutokea zanzibar, najiuliza bado kuna haja zama hizi ya kuwa na huu muungano? personally sioni sababu ya kuendelea na huu muungano, wakati Mwl na Karume wanaanzisha huu muungano sababu kubwa ilikuwa ni ulinzi, wakati wa vita bardi nyerere aliogopa ka-nchi kama znz kasitekwe na mataifa mengine ambao wangehatarisha usalama wetu bara, je sababu za kuendelea na muungano bado zipo???
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Agreed with you! Hakuna haja hata kidogo!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hakuna sababu yeyote wa huu muungano let them go to hell, na hizo habari zilizoandikwa kwenye gazeti la habari leo kuna visiwa ninaanza kuzama itakula kwao. Labda wahamie uarabuni.
   
 4. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....hakuna sababu hata chembe...
   
 5. M

  Mwanantala Senior Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Muungano uvunjike tu. Sioni faida zake bali hasara tupu.
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Though maharamia kupitia pwan ya zanzbar hasa wale wa nch za kiarabu watakaoingia na gia ya kuisadia zenj, watatusumbua but no way wanajesh wetu inabid muingie kazn kulinda ukanda huu, otherwise it is a big NO, HAKUNA HAJA YA KUENDELEA NA MUUNGANO, wenzetu ni wanyama let them go!
   
 7. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Huu ni upepo tu utapita - jk
   
 8. Sibonike

  Sibonike JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 10,255
  Likes Received: 4,935
  Trophy Points: 280
  Wenzetu wa Zanzibar wanaowafukuza watu wa bara kule kwao ni vizuri wakaanza kuwaambia wenzao waliotapakaa bara waanze kurejea Unguja na Pemba. Zanzibar na uchache wao, naamini ni wengi walioko bara kuliko wa-bara walioko Unguja na pemba
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mfumo wa Muungano unatakiwa kuangaliwa. Mimi napenda serikali tatu. Singefurahi kuuvunja kabisa. Hii itatoa fursa kwa nchi nyingine, kama burundi , rwanda, Uganda NK kuingia katika muungano. Mfumo wa sasa ni mbovu kabisa, tunaung'ang'ani eti kwa sababu ya mtu fulani. Hii sio sawa. Kwanza huu muungano ujadiliwe, na ikibidi makubaliano yapigiwe kura ya maoni. Muungano kamwe hautadumu kwa kutumia mabavu. Walishindwa USSR sembuse sisi.
   
 10. M

  Masabaja Senior Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijawahi wala sitawahi kuona faida ya muungano uchwara
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  huu muungano utasambaratika tu..hata wakatae vipi hawa viongozi
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hakuna sababu yoyote, TUNAITAKA TANGANYIKA YETU.
   
Loading...