Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na pia mkuu wa mkoa achaguliwe kwa kupigiwa kura kipindi cha uchaguzi mkuu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vuguvugu na wimbi la mabadiliko ya siasa za Tabora yamefikia patamu. Kama Tabora imeamua kuikataa ccm inayoutafuna mkoa ni afadhali. Nchi hii hakuna wa kuikomboa ila watanzania wenyewe. Mungu yuko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa Kila Mtanzania mpenda mabadiriko na Mtanzania yeyote anayetaka kuona nchi hii ikienda kwenye mstari wa Neema hataacha kufuatilia M4C aka Vua Gamba Vaa Gwanda. Katika Mikutano yote ya M4C...
2 Reactions
1 Replies
976 Views
Wanabodi hukumu inayowakabili viongozi wa CHADEMA mkoa wa Dodoma itasomwa kesho katika mahakama kuu kanda ya Dodoma kuanzia saa mbili asubuhi.Kesi hiyo inawahusu katibu wa CHADEMA mkoa wa DODOMA...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama uchaguzi ujao utafanyika chini ya katiba mpya ikiwa na kipengele cha rais atachaguliwa kutokana na wingi wa wabunge waliochaguliwa badala ya mfumo wa sasa unaotambua ushindi wa rais kwa idadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo.. Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kuingia Zanzibar itakuwa kwa visa au watakuwa members wa EAC hivyo kuruhusu free movement? Na wazanzibari walioamua kuinvest Tanzania bara itabidi waishi kwa residence permits au itabidi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Karume:Muungano kama koti likitubana tunalivua. je wanzanzibar bado koti linawatosha?
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Na mashinda - Imechapwa 26 May 2012 Ndani ya Jamii ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo amekanusha uvumi ulionea kuwa ana mpango wa kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 23 May 2012 MAWAZIRI watatu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliotuhumiwa ufisadi katika uuzaji na ukodishaji mali za serikali, huenda wakafukuzwa kazi kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia operation ya vua gamba vaa gwanda katika sehemu mbalimbali. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe haonekani kwenye mikutano ya hadhara. Kama unajua sababu ambazo zinamfanya mheshimiwa huyu...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
a. Kutalazimisha uchunguzi kukamilika mapema b. Kutaondoa wingu la tuhuma dhidi ya watu c. Kutapunguza gharama za kuendesha kesi kwa miaka mingi d. Watu wafikishwe mahakamani wakati...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasomi wa Tanganyika wasema katiba ya Muungano isi jadili Muungano jee wasomi wa Z’bar muna semaa jee?Written by amini // 19/10/2011 // Habari // No comments KILIMACHO NA CHANGA LA MOCHO...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakazi wa manispaa ya Mtwara wamepokea kwa furaha kubwa taarifa za ujio wa CDM katika mikoa ya kusini.Wananchi mbalimbali waliohojiwa wamesema wamekuwa wakiisikia CDM kupitia vyombo mbalimbali vya...
14 Reactions
192 Replies
17K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 05/05/2011 // Makala/Tahariri // 21 Comments Msione taabu sana kusoma mada hii au mada zangu. Kwa jicho la ghafla, utadhani kama vile ‘jokes’; lakini...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia matamshi ya viongozi mbalimbali wa CCM pamoja na habari za gazeti la uhuru na Mzalendo na kugundua kwamba chama hichi kikongwe cha siasa wamekuwa madalali wazuri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ili kukabiliana na pesa chafu, CCM inakusudia kuanzisha makampuni au kununua hisa kwenye makampuni ya biashara. Hii ni kwa mujibu wa Peter Kisumo(mwenyekiti wa baraza la wadhamini). My take...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Akizungumza na waandishi wa habari jana Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa CCM mzee Peter Kisumo alidai kuwa CHADEMA wanaye mwanachama wao ambaye akilala na kuamka anatangaza kukipa chama hicho...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
THE FOLLOWING IS AN ARTICLE WE RAN AT THE END OF APRIL. IT HAS NOT BEEN COVERED IN THE TANZANIA PRESS SO WE ARE RERUNNING IT AS A NOTE *GOVERNMENT CONCLUDES NEGOTIATIONS WITH TANZANIA*...
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…