Nyerere kumbe alikuwa kamamda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere kumbe alikuwa kamamda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, May 30, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  wanasema kamanda mbowe ni mtoto wa JK nyerere...safi sana like father like son...full gwanda
   
 3. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Anayebisha hoja yako aje na picha ya julius nyerere amevaa nguo za rangi ya bangi kama anazovaa nape.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa yako hajawahi kuvaa Nguo za kikada, i mean Suruari Nyeusi na shati la kijani. Picha hakuna hata moja tofauti na zile za kuchorwa pamoja na Photoshop!
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,812
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  acha majungu wewe! Freeman ni mtoto wa Aikaeli Mbowe! usichukue habari za kwenye vikao vya gahawa usilete humu!!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  lisemwalo.....
   
 7. P

  Pwito Senior Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unapenda vya kusikia eeeh! Mbona sisi tangu tumesikia wewe ni mtoto wa shamba boy wenu hatujasema
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Taratibu, unaua sisimizi kwa nyundo!
   
 9. a

  andrews JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WILLIAM MALECELA UNASEMAJE LEO MAGWANDA YALIAANZA KWA WAKOMBOZI WA NCHI NA SASA YANARUDI KWA WAKOMBOZI WA NCHI :israel:
   
 10. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Chenge akivaa magwanda kesho mtamkubali kuwa ni kamanda?
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Angekuwa hai leo angejiunga na chama makini chadema
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  alitembea kwa mguu kutoka msoma hadi mwanza. huyu jamaa alikuwa si mchezo.
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  nyerere alikuwa rafiki mkubwa wa mao tse dong! ... muasisi wa chama cha kikomunist cha china .. hayo mavazi aliyatolea... kule! plus nawashangaa chadema alama ya vidole viwili "peace " washajiwekea haki miliki ni kwao! while ni global symbol !
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhhh....ngoja kwanza ntapita baadaye ku comment hii..
   
 15. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa magamba imefikia wakati huwez kupata ujumbe NEC kama huna kitambi!
   
 16. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nyerere ndiye aliasisi kauli ya pipooooooooooooooooooooooooooooooz
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  wakati wa kuunga mkono azimio la arusha ... babu yangu pamoja na wazee wenzake walitembea kutoka Tanga CCM mkoa ... nyuma ya barabara ya 20 mpaka DAR!... SIO KITU CHA AJABU HICHO
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Watoto wote wa Nyerere wanafahamika, Mbowe baba yake anajulikana mzee Mbowe...JF sio sehemu ya porojo.
   
 19. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuna kazi kubwa ya kufanya kuweza kuyaenzi yale aliyoyafanya, vijana tubadilike tufanye kazi, tuache ubabaishaji, tusiyumbishwe na mafisadi!!
   
 20. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  ni baba wa roho wa mbowe
   
Loading...