CHADEMA tunawategemea katika bunge lijalo la bajeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA tunawategemea katika bunge lijalo la bajeti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, May 31, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watanzania wazalendo tunahtaji na tunategemea mchango wa dhati wa kambi ya upinzani chadema kupitia wabunge wake kutuwakilisha vilivyo katika kutupigania, kutukomboa, na bajeti ambazo hazikizi matakwa ya watanzania katika kuleta maendeleo na kuwanufaisha watanzania kwa ujumla! Naam kila wizara hasa nishat na madin elimu afya viwanda miundombinu kilimo tunawaomba mzifuatilie haswa nje na ndan na sis tutajipanga ili makosa yaliyojitokeza na kututatanisha katika bunge lililopita yasitokee tena ikibidi na isipokuwa lazima, Naamin mmejipanga vilivyo na sis tuko pamoja nanyi mbele na nyuma , kushoto na kulia, juu na chini katika kuweka nchii sawa na kukuza uchumi na elimu bora na afya pia kufanikisha utawala bora, na pia kukwamua ugum wa maisha ya kila siku ya mtanganyika au mtanzania au mzanzibari tutawaunga mkono kwa kupitia nguvu ya uma, pamoja tunaweza watanzania tutashkiriana na tutaendelea kuwaunga mikono na nguvu ya umma nje na ndani ya bunge kupitia nguvu ya umma, alafu na kuchangia juhud zetu iwe ni nguvu kazi, fedha, utash, na chochote kile kama kipo ndan ya uwezo wetu, ..na pia katika kuhudhuria na kufanikisha mihadhara ya chadema,, kadri siku zinavyo kwenda. Na mungu wa mbinguni amesikia kilio chetu nae tunaendelea kumuomba atuwezesha! To be continued
   
 2. M

  Mr. Clean Senior Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sir.JAPHET,
  habari za SJUIT aka SJCET?
   
 3. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hujasomeka mkuu
   
Loading...