Uchumi wa Tanzania kuporomoka ni nani alaumiwe?

mtalae72

Member
Feb 4, 2011
92
70
Mara baada ya mtikisiko mkubwa wa uchumi wa dunia mwaka 2008, tulisikia wataalamu wetu wa uchumi akiwepo Gavana wa Benki kuu Tanzania Prof. Ndulu akisema kwamba uchumi wa Tanzania hautaathirika kwa mabadiliko na mporomoko wa uchumi wa dunia. Kwa mtu anayeelewa kwamba tumejenga uchumi tegemezi alielewa fika kwamba gavana alikuwa anachemka. Hata baadhi ya mawaziri na wasomi pia walisema kwamba Tanzania haingeathirika. La kushangaza ni kwamba Raisi wetu akishirikiana na genge la wafanyabiashara wahuni hapo Dar es Salaam aliamua kuiga mfumo waliotumia wamarekani na mataifa ya ulaya wa kutoa 'Stimulous packages' kwa makampuni yaliyokuwa yanaathirika na mtikisiko ule. Wengi wetu hatujui hiyo hela ilitoka wapi maana budget yetu haikuwa imeainisha hayo matumizi na mbaya zaidi hata waliopewa na makubaliano yaliyofanyika kati ya hazina na hao waliofaidi hayakuwekwa wazi kwa watanzania. Katika kilpindi hiki ambapo taifa linajiandaa kwa bajeti ya mwaka ujao, ni vyema haya masuali yakaulizwa na kupatiwa ufumbuzi. Kuna takwimu zinasikitisha kama siyo kutisha kwani zinaonyesha kwamba watanzania wamezidi kuwa maskini kama hii website inavyosema
Tanzania - household final consumption expenditure per capita

[h=1]Tanzania - household final consumption expenditure per capita[/h][h=2]Household final consumption expenditure per capita (constant 2000 US$)[/h]The latest value for Household final consumption expenditure per capita (constant 2000 US$) in Tanzania was 90.93 as of 2010. Over the past 20 years, the value for this indicator has fluctuated between 308.24 in 2009 and 90.93 in 2010.
Definition: Household final consumption expenditure per capita (private consumption per capita) is calculated using private consumption in constant 2000 prices and World Bank population estimates. Household final consumption expenditure is the market value of all goods and services, including durable products (such as cars, washing machines, and home computers), purchased by households. It excludes purchases of dwellings but includes imputed rent for owner-occupied dwellings. It also includes payments and fees to governments to obtain permits and licenses. Here, household consumption expenditure includes the expenditures of nonprofit institutions serving households, even when reported separately by the country. Data are in constant 2000 U.S. dollars.
Source: World Bank national accounts data, and OECD National Accounts data files.

Naomba kuwasilisha ili tuendelee kushauriana hapa...
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
As long as Tanzania or Tanganyika has GOLD and Gas; no matter what the Economy will or not Grow no Matter What U think

About or U want other's to think about it, and to add to the bucket there is Uranium and to close that bucket with COAL

and Iron Ore... CCM Government can say anything to Confuse the Masses but in reality the Country Economy is healthy and rich

The problem is the Greedy Leadership who does not know anything about the Economy
 

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,391
2,000
Mwalimu Nyerere alishatoa jibu, CCM IKIYUMBA NCHI ITAYUMBA.
 

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,598
1,195
ccm na mafisadi wake
we wanauza mpaka twiga!

Ningeweza kumlaum rais lakini hatuna rais!
Tuna Boooooooom'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom