Nape, toa tamko kama mara ya kwanza kuhusu kada wa chama kuhusishwa na mauaji ya Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, toa tamko kama mara ya kwanza kuhusu kada wa chama kuhusishwa na mauaji ya Arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king86c, May 31, 2012.

 1. k

  king86c Senior Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kama kawaida yake kama anavyojiita mzalendo mauji ya mwana chadema yamefanywa na kada wa ccm kama chama kinachukuliaje tunaomba tamko
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  yangekuwa mengine washajibu.........walisema wanaonewa kuhusika na mauaji sasa kila kitu wazi huenda hata yale ya igunga huyu jamaa aliyekamatwa alihusika maana aina ya mauaji yanafanana
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mpumzisheni huyu mshika ukuta atakunya safari hii.Kila pande anashambuliwa kama mpira wa kona
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajiandaa kukana kuwa huyo hakuwa mwenyekiti wao alikuwa gamba na walishampa barua ya karipio,this politics bana
   
 5. K

  KIMBULU Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaweza kukana hadharani lakini NAPE na NCHEMBA wanajua nini kilicho nyuma ya pazia kwa kuandaa vijana wahuni kushambulia wapinzani wao hasa CDM.
   
 6. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nape usipuuze,tafadhali toa tamko, nyie ni wanafiki sana. Je, mna haki ya kutoa roho za wapinzani wenu?
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acheni upotoshaji wa kijinga,kwani mwana ccm akifanya jambo anakua katumwa na chama,siasa hizi za chuki hazita tusaidia,nashangaa hata moderator kuacha thread kama hii ambayo inakuza chuki tu!
   
 8. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lugha mkuu! Punguza makali kidogo
   
 9. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu, katika mgao wa vyeo ulilamba ukuu wa wilaya???? maana kila aliyemo humo, anasubiri angalau uteuzi!
   
 10. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nape anawezakuwa pia mhusika mkuu kwani yeye si mwenezi wa chama?sasa kama wananchi wamekisusa chama sasa si ameamuwa kutumia altenative way ili kueneza chama chake?
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,936
  Trophy Points: 280
  Ukisema uongo leo, kessho itakugharimu kuusema ukweli.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkubwa, Nnauye Jr Tunakusubili vuvuzela uje umwage pumba hapa.....na leo ukitoa point nakuzawadia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nape amenieleza jana kuwa sasa atakaa kimya,amechoka
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mmmm!!....hapo kwenye red na hilo nalo neno!!....yawezeka alianda diri,mlipaji akawa Mwigulu(joks),ngoja tumsubiri ila nazani hatatoke amekua mwoga sasahiv
   
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh!,teh!,teh!.....kama amechoka si ajiuzuru tu!..au makombora ya Maige yanampa presha
   
 16. R

  RMA JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 17. D

  DUBE Senior Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  hatari sana hawezi kujibu
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  igunga,mwanza,iringa na meru!!unadhani chama hakiusiki?
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  huu ni udhirisho kuwa chainsaw ilitumika kukatisha maisha ya mwanaharakati.
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kama umejaa upepo pasuka,kufa huna faida kwetu na huwezi kuzuia kusema.tutapiga kelele
   
Loading...