CHADEMA wanapodandia kila jambo kutafuta sifa...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wanapodandia kila jambo kutafuta sifa...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uswe, May 31, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli CCM sasa wanaweweseka, yaani neno la kwanza kabisa katika blog yao ni CHADEMA, hiyo heading ni story ya kwanza kabisa iliyopo kwenye blog ya ccm leo.

  Kweli nape na wenzake sasa wanahaha!

  ila nimeshangaa kwamba kwenye menu ya SPOTI wameweka link kwenda timu mbalimbali za mpira lakini hakuna Yanga wala Newcastle hii inaonyesha mwenyekiti hausiki na hii blog au hana interest wala hajui nini kiko kwenye hiyo blog
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sijakuelewa, fafanua vizuri
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Watapiga porojo kwenye blog huku CDM ikiikamata kusini kwa mapambano ya ardhini wao magamba wamejifungia ofisini wanapiga propaganda kwenye blog
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Za usoni zinauma
   
 5. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkitembelea hizo blog mtoe taarifa kamili humu maana mtu kama mimi nina aleji na hizo rangi za kijani,nikiiona popote tu siku yangu inaharibika
   
 6. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  waacheni wafu wazikane wao kwa wao.Mungu Ibariki Tanzania,Mungu wabariki wapenda mabadiliko wote na Mungu endelea kuibaliki CHADEMA mílele.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kichwa cha Habari na Habari Uliyoandika Haziendani

  CHADEMA wakidandia CCM wanafanya nini?
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  soma utaelewa tu
   
 9. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kichwa cha habari hakisadifu habari yenyewe.
  Siku nyingne mtoa mada jipange upya.
   
 10. m

  mbu-NGE Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Aliyeanzisha uzi huu alikusudia nini...?
  Heading yake haisadifu taarifa yenyewe kabisaaa!!!
   
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kweli kufikiri ni sanaa, si kwa kila mtu! sioni kipi kisichoeleweka, au mlitegemea kuona nini?
   
 12. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Labda kama ulikuwa unaandika ushairi...! Lakini kwa habari wakurudia kuisoma na kuielewa ni wewe, huwezi kusema CDM wanapodandia kila jambo kutafuta sifa halafu habari yenyewe inazungumzia blog ya ccm na kiwewe cha kuitaja CDM.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  M4C ni hatari sana kwa afya ya ccm
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  CDM wanapodandia kila jambo kutafuta sifa = hii ni heading kwenye hako kablog ka ccm, na ndio story yao kubwa, hapo ndio hoja yangu ilipo kwanba nape na wenzake hawawezi kukaa dk mbili bila kutaja chadema, na hio ndio dalili ya kuhaha au kupagawa kwa ccm
   
Loading...