Kwanini Mh. Rais asiteue hata wakurugenzi wakawa wazungu kwenye baadhi ya ofisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Mh. Rais asiteue hata wakurugenzi wakawa wazungu kwenye baadhi ya ofisi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ZIGZAG, May 31, 2012.

 1. Z

  ZIGZAG Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello jamiis. Kwakua rais ameshabadilisha mara zaid ya 2 watendaji wake, kwanini asituletee watu wenye upeo zaidi "wazungu" ili watuwekee system sisi wenyewe tumeshindwa. naomba mchango wenu..
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Poor minded,
  Yaani wewe unaona wazungu ndio watendaji wazuri!
   
 3. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Gongo ulilokunywa ni la mbagala au charambe
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Some how maana hata kama wakifanya kutuibia haitakuwa kwa kiwango kikubwa kama hawa viongozi wetu wa ccm walao maendeleo yataonikana, nadhani mlio wengi mtasema tutakuwa tumetawaliwa je hamuoni hata sasa tumetawaliwa na mkoloni mweusi ambae hata maendeleo hata kidogo hatuletei? Mkoloni aliyetutawala awali alituachia vitu vingi na ndivyo vinavyotusaidia mpaka sasa mfano majengo ya shule mbalimbali za serikali na vyuo ambavyo ndivyo tunavitumia hadi sasa na hata barabara na bado zinadumu, tukiangalia hivi vya mkoloni mweusi ni gagari na havidumu pia siyo vingi mpaka nashindwa kuelewa kati ya mkoloni mweupe na mweusi yupi mzalendo zaidi? Nadhani jibu hapa la moja kwa moja ni mkoloni mweupe kama nitakuwa sijakosea!
   
 5. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,931
  Likes Received: 1,465
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni kali! lakini unaweza kuwa na mantiki pia
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wala siyo ulevi bali ni mtu kuwa na uchungu na nchi yake
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hilo nalo neno.
   
 8. Z

  ZIGZAG Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kinachotufanya tuwaogope watu weupe ni nini na ukoloni wa watu weus ndio huu tunauwona, big up my bro hatuna jins turud kulekule ili alau vizazi vyetu vipate ahueni ya maisha naamini wanawfza kutusaidia kuliko kuwapa sehemu za rasilimal zetu.
   
 9. Z

  ZIGZAG Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  good fellin! ina maana kila pahala ww mpaka uwashiwe taa ndio uone? katika serkal hii kuna watu wangapi watz wanafanya nn?
   
 10. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ulivyoandika Jamiis, maana yake wewe ni mpare.....! Umelidhalilisha sanaa kabila langu !
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  E bana eeh, tatizo sio watendaji,tatizo ni ushkaji wao na mkulu, ukisema alete wazungu anaweza huyo, mara utaskia BECKHAM waziri wa michezo,na hivi kasalimiana naye juzi,mmmh!
   
 12. njugilo

  njugilo Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Migodini mmeshindwa kuwadhibiti na je wakiingia huko serikalini si itakuwa vurugu.Bora kupangana kwa zamu kama tuendavyo.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna mzungu mzawa?
   
 14. Z

  ZIGZAG Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzawa ndio nn? nchi zilizoendelea hakuna mambo hayo.
   
 15. Z

  ZIGZAG Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kule migodini tuliwapa mali na ndio maana wao wanachukua lkn maofisin ni system tu.
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kitu kinachonishangaza ni kuwa kuna Watanzania Wenye asili ya Kiasia nilikuwa nao Jeshini Oljoro na Ruvu Sasa hivi ni Madaktari Dar, Moshi na Arusha wengine Maengineer na Wafanyakazi watiifu

  Sijui kwanini Serikali ya Awamu ya Nne haiwaangalii hao na ni Vijana hawateui hao hata Uwaziri Mdogo na ni Wazalendo

  Serikali ya Tanu na CCM ya Nyerere ilikuwa na kina Alnoor Kassum, Ameir Jamal na Mama Mmoja wa Morogoro alikuwa

  Naibu Waziri; Nchi yetu ni Rainbow Nation kama South Africa; kwanini Baraza letu la Mawaziri lisifuate Taifa Letu kuwa

  Rainbow ?
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180

  Rejao, alichokisema mtoa mada ndo kinachofanyika. Huu mkutano wa AfDB unaofanyika Arusha una maana sana kwa hii topic
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. z

  zanzibar huru Senior Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Neno MZUNGU ukitoa Z inabaki nini?

  hiyo ndio siri ya maendeleo yao hao
   
 19. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ukimkaribisha mzungu mmoja ataleta wenzake kumi na hao kumi wataleta wenzao kumi kila mmoja+kinachofuata ni colonization of Tanganyika...na baada ya kubinafsisha viwanda sasa nadhan kifuatacho ITV ni serikali
   
 20. Z

  ZIGZAG Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ah! ah! ah!
   
Loading...